Wema aanika sababu za kummwaga Diamond

Wema aanika sababu za kummwaga Diamond

Wema ana toa ndogo sana...hicho nampendea sana, anauza sana jicho...ila wasichana wote wa mjini nisimseme yeye tu....wenye pesa tujilie minduku jamani..!!!

Nyie ndio mnaotaka kutuletea lile gharika la sodoma na gomora.....na mtateketea wenyewe mafirauni wakubwa
 
topic ya daimond nimechambwa mie bora dina muuza samaki kuliko mir form four felia mwl wa primari

HAHAHAAH hawajui kuwa mwalimu pia ni msomi, ila apo kwa dinazarde wameuwa muuza samaki? Khaaa
 
Mi nilisikia domo alikuwa anataka apite barabara zote yan ya lami na ile ya tope...... Bi makalio akachomoa... Lakn wanaume wengine wa mjin anwapa njia zote

so ndo hvyo mambo yakaharibika

hivi ni sh ngap huyu

aunt utalii nilisikia ni laki 5
 
form four felia mie mwl wa primary na dina wangu kisa yote kumfagilia mbuta nanga
 
Mi nilisikia domo alikuwa anataka apite barabara zote yan ya lami na ile ya tope...... Bi makalio akachomoa... Lakn wanaume wengine wa mjin anwapa njia zote

so ndo hvyo mambo yakaharibika

hivi ni sh ngap huyu

aunt utalii nilisikia ni laki 5

aiseeee hatariii jamani lloooh
 
Mi nilisikia domo alikuwa anataka apite barabara zote yan ya lami na ile ya tope...... Bi makalio akachomoa... Lakn wanaume wengine wa mjin anwapa njia zote

so ndo hvyo mambo yakaharibika

hivi ni sh ngap huyu

aunt utalii nilisikia ni laki 5

Ulishuhudia. Au ulishawahi kuombwa na dai....
 
Wema ana toa ndogo sana...hicho nampendea sana, anauza sana jicho...ila wasichana wote wa mjini nisimseme yeye tu....wenye pesa tujilie minduku jamani..!!!

ndiyo maana tumeambiwa ni ngumu tajiri kupita kwenye tundu la sindano.......

endelea mkuu......
 
Heeeeeee wema lini ushakua na ushoga na zari hheloooooi ashakua shoga yako au ndo unataka uwe mbeba pochi niniii
Hilo paja wema sio la kuacha nje tena uwe unalifunika tu halivutiii
Diamond baba bado mdogo na una akili sana huwezi oa gume gume la mjini wa kuolewa sio wema aolewe na club tu na pombe
Dai umejibu vizuriii

Hata mimi nimeliona lile paja kama lina manundu manundu😱
 
Tanzania 2006/07 ambaye ni staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amevunja ukimya kwa kuamua kuanika kisa cha yeye kummwaga aliyekuwa mwandani wake, nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

Akizungumza na Amani katika mahojiano maalum jijini Dar, juzikati, Wema alianza kwa kufunguka kwamba, kuna watu wamekuwa wakizungumzia ishu ya yeye kumtema Diamond huku kisa wakiwa hawakijui na wengine wamehamishia sababu kwa nyota wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’, jambo ambalo si kweli.

Wema alimwaga ‘ubuyu’ kwamba, yeye ameamua kumpa likizo ndefu Diamond ili kila mmoja aweze kufanya mambo yake ya maana kwa uhuru mkubwa hasa baada ya jamaa huyo kunukuliwa na magazeti pendwa akisema hana mpango wa kuoa jambo ambalo lilimkatisha tamaa na kumwacha njia panda.

SAFARI YAKE CHINA NAYO TATIZO:
Kuhusu suala la kusema amempa likizo ndefu ili kila mtu afanye mambo yake, Wema alirejea safari yake ya China hivi karibuni ambapo Diamond hakutaka asafiri ila akalazimisha. Hapo aliona anatakiwa kuwa huru zaidi.

MWISHO WA LIKIZO:
Wema alipotakiwa kutaja mwisho wa likizo hiyo endapo ni ya siku 28 kama ilivyo kwa sheria ya kazi ya Tanzania, aligoma kusema chochote huku akisisitiza amempa likizo Diamond.

AMZUNGUMZIA ZARI:
Staa huyo asiyekaukiwa na matukio, alikwenda mbele zaidi kwa kumzungumzia Zari ambapo alisema kuna wanaodai mwanamuziki huyo tajiri yuko kimapenzi na Diamond, lakini yeye haoni ukweli wowote kwani anajua wawili hao wana ‘projekti’ ambayo ni mawazo ya muda mrefu.

BOFYA HAPA KUMSIKIA WEMA:
“Kwanza naomba watu wajue kuwa, projekti ya Diamond na Zari ninaijua na bahati nzuri Zari ni shoga‘ngu tangu kitambo hivyo yote yanayofanyika mimi nayatambua hatua kwa hatua pamoja na kwamba sijaongea na Diamond siku nyingi,” alisema Wema.

DIAMOND AULIZWA KAMA ANAITAMBUA LIKIZO NDEFU:
Baada ya mazungumzo na Wema, mwanahabari wetu alimtafuta Diamond kwa lengo la kutaka kumfahamisha kama anafahamu kwamba amepewa likizo ndefu. “Dah! Nashindwa niseme nini hapo! Lakini ujue maisha kila mfa maji siku zote haishi kutapatapa, kiukweli mimi hapo naona Wema anatoa majibu ya kisiasa tu.

Nashindwa kujibu kila linalosemwa na watu ila kuna kipindi mtu hutakiwi kujibu kila kitu. Kuna mambo mengine yanatakiwa uyaache yapite tu.
“Mimi nimeachwa na Wema, Zari ni rafiki yangu tu, acheni projekti iendelee,” alisema Diamond huku akichekacheka kwa ishara ya furaha akijiandaa kuachia ngoma kali mpya iitwayo ‘Nitampata Wapi’ leo.

KWENYE WHATSAPP
Wakati Diamond akisema hayo, baadaye kwenye maelezo yake mafupi (profile) ya WhatsApp aliweka picha ya Zari huku akiambatanisha na maneno yaliyosomeka:

“Unapokosa usisikitike, Mwenyezi Mungu kakuandalia kizuri zaidi.”
Wema na Diamond wamekuwa na kasumba ya kuachana na kurudiana hivyo kuna kila dalili wawili hao wakarudiana tena.
 
Hawa watu wanajua kucheza na akili za watu! afu Wema anapenda kujipendekeza sijui ana mapepo!?? Kah!! Zari anakujulia wapi wewe!??
 
Nisaidie kushangaa, ila zari ana uguu wa maana dah ni shidaa
 
Nini maana yako kurudia uzi??
 
Back
Top Bottom