Wema aanika sababu za kummwaga Diamond

Wema aanika sababu za kummwaga Diamond

Nimemwambia apande roli jumamos nimpeleke tanga tukaroge apate pedeshee, gharama zote juu yangu, mwambie achangamke huyo ooh

Bina kuna mtu anakushobokea hatareee eti uwe makamu wakeeee!!!! Yaan tamtakata pua
 
anajipa moyo eti nna maudaku ningekua jf ningekua makamu wa warumi halooooowww
warumi ana shda ya makamu kwani?au kujipendekeza tuuuu

Ahahaha nani tena huyo anataka kuwa makamo wangu? Huu ubuyu umenipita aseeh ebu nimegeeni ubuyu
 
Bina kuna mtu anakushobokea hatareee eti uwe makamu wakeeee!!!! Yaan tamtakata pua

Ahahh nani tena huyo binamu? Akuombe wewe kwanza, maaana mimi na wewe tunamejiana, kila mtu anam manage mwenzie chezeya sie weye, aya nipe ubuyu huo nani huyo
 
Ahahh nani tena huyo binamu? Akuombe wewe kwanza, maaana mimi na wewe tunamejiana, kila mtu anam manage mwenzie chezeya sie weye, aya nipe ubuyu huo nani huyo

Kamwambie kule sinta anajiita pilipili, ,,ndo aliesema mi nauza samaki hhhhhaaaaa
 
Wewe ndio hujanielewa, i mean anatakiwa aachane na Diamond na abadirike waowaji wapo wengi tu, ila kama anataka kuolewa na Superstar nampa pole yake hakunaga ndoa ya Masuperstar.

Mkitaka kutoa mfano wa Jayzee mtakuwa mnajidanganya wenyewe, Wema inatakiwa awe na mahusiano na mtu ambaye si maarufu wala wa media atayafurahia maisha yake.

Hoyce Temu na Faraja Kota wote wameolewa na watu wenye pesa na maisha yanakwenda safi, why not Wema Sepetu? Kujichanganya na waswahili walioishia darasa la saba kwa ajili ya pesa atakuja kujuta maisha yake yote.

Na wewe si mwanaume, kamuoe wewe huyu wema kama utamuweza
 
Yani sanaaa ya bongo kizunguzungu ukiona kuna tukio tu basi nyimbo mpya inakuja hii sio nzuri kwenye kukuza sanaa kutengemea tukio ndio kitu kifanyike

Mimi ni mmoja kati ya tunaoamini kwamba hawa jamaa hawajaachana, ni kick tu ya kutolea wimbo mpya.
 
Utapauka sanaaaaa

Nikuchekeshe, jana si nilitoka zangu kwenye mihanjo bhna, ilikuwa usiku , nikakodi piki pik huyoo, sasa kufika njian tukakuta mtu kagongwa watu kibao wamemzunguka, warumi nilivyo mbea nikataman kumsimamisha dereva nikaone umbea nkawa naogop nkachuna, kumbe dereva nae anataman kuona umbea, akaniuliza turud kidogo tukaangalie ajali, kumbe dereva nae alikuwa mbea warumi anasubir,mie tena ata ningekuwa nachelewa flight ningechelewa kwa ajil ya umbea, nikakubali bhana, akageuza piki pik mpaka eneo la tukio nakwambia mbio nikashuka nkashuhudie ajali, kufika kumbe ng'ombe aligongwa na hakufa tuliumbukaje? Wacha watu watuzomee mi na dereva wangu hao tukakimbia, nikacheka nikasema umbea huu hatar
 
Last edited by a moderator:
Wema ana toa ndogo sana...hicho nampendea sana, anauza sana jicho...ila wasichana wote wa mjini nisimseme yeye tu....wenye pesa tujilie minduku jamani..!!!
 
Nisaidie na mimi binamu, ivi kwa mfano mtu umeishia la pili si unaweza kufundisha chekechea??

hahaaaa walimu sie wa primary tulinusurika kufeli form four hata we unasomea ualimu na serikali inakuajiri tu
 
Nikuchekeshe, jana si nilitoka zangu kwenye mihanjo bhna, ilikuwa usiku , nikakodi piki pik huyoo, sasa kufika njian tukakuta mtu kagongwa watu kibao wamemzunguka, warumi nilivyo mbea nikataman kumsimamisha dereva nikaone umbea nkawa naogop nkachuna, kumbe dereva nae anataman kuona umbea, akaniuliza turud kidogo tukaangalie ajali, kumbe dereva nae alikuwa mbea warumi anasubir,mie tena ata ningekuwa nachelewa flight ningechelewa kwa ajil ya umbea, nikakubali bhana, akageuza piki pik mpaka eneo la tukio nakwambia mbio nikashuka nkashuhudie ajali, kufika kumbe ng'ombe aligongwa na hakufa tuliumbukaje? Wacha watu watuzomee mi na dereva wangu hao tukakimbia, nikacheka nikasema umbea huu hatar

Hhhhhhhhaaaaaaasaasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom