Wema aanika sababu za kummwaga Diamond

Wema aanika sababu za kummwaga Diamond

Hahahaaa nyie endeeni kumchokoza pilipili hapa anawafuatilia tu mtakuta vichambo vyenu kule tayari.....hahahaaa hii ligi tam hatariii
 
Aje huku kama anajiweza anakimbia adui aoshe vizee huko mbea kweli anatukubali lakini hataki ijulikaneee
 
Lakini jamani ngoja nimtetee Wema anatamani kuolewa na chibu leo kesho lakini ndomo ndio haeleweki...kajipendekeza kwa wakwe hadi kachoka mtoto wa watu ramadhani yote ile alikua anapika futari akidhani baada ya hapo ni ndoa lakini ndomo kamgeuka...

Wewe ndio hujanielewa, i mean anatakiwa aachane na Diamond na abadirike waowaji wapo wengi tu, ila kama anataka kuolewa na Superstar nampa pole yake hakunaga ndoa ya Masuperstar.

Mkitaka kutoa mfano wa Jayzee mtakuwa mnajidanganya wenyewe, Wema inatakiwa awe na mahusiano na mtu ambaye si maarufu wala wa media atayafurahia maisha yake.

Hoyce Temu na Faraja Kota wote wameolewa na watu wenye pesa na maisha yanakwenda safi, why not Wema Sepetu? Kujichanganya na waswahili walioishia darasa la saba kwa ajili ya pesa atakuja kujuta maisha yake yote.
 
Tatizo la Wema ni anapenda kick sana,anaona akiolewa na watu wasiokua maarufu hatosikika.
Mbona alikua na CK aliyekua anamhudumia vizuri kuliko huyo diamond kama tatizo ni pesa?
Atajua mwenyewe bwana subiri shavu lichume kunde ndio atatia akili
 
heee mmewe muuza uduvi aisdanganye kutwa umbea jf ukiona kannua bando bas kapata hela ya samaki

Nilimwambiaga binamu nikutafutie pedeshee, akasema ooh msukuma wangu anajiweza ananipa kila kitu, kumbe anampa sato na sangara khaa!! Binamu muongo, ana vichambo vyake apa vya haja
 
Wizara nyeti ndio hiyo ya kuuza samaki jamaniii we ulidhani wizara ganiii

Si ulisema yupo karibu na muheshimiwa first class wewe? Looh hakyanani leo tunampunzisha mama ubaya kumpa vichambo tunahamia kwako, ebu geniveros kuja apa atuelezee vizur, inabid tumtoroshe uko nyamagana aje uku dar na fast jet tumtafutie madanga wa maana , na hiko kimeo cha huawei abadilishe anunue galaxy kama ya lucy komba
 
Last edited by a moderator:
Shogaa samaki zimenidodea hapa njoo uniunge basiiii eeeee nipate hela ya bando

Nyoo kula mwenyewe , lione kwanza nfyuu hatutaki shombo sie, ndo maana una kilo 75 chezeya samaki waliododa weye
 
akuunge nani weka pilipili kichaa upate wateja huko we unauza samaki bila kuweka pilipili utajijua na leo imekula kwako

Binamu nyie muongo, sina hamu nae, aje dar na lori tucheze upatu uku kwetu kwa mtogore
 
Si ulisema yupo karibu na muheshimiwa first class wewe? Looh hakyanani leo tunampunzisha mama ubaya kumpa vichambo tunahamia kwako, ebu geniveros kuja apa atuelezee vizur, inabid tumtoroshe uko nyamagana aje uku dar na fast jet tumtafutie madanga wa maana , na hiko kimeo cha huawei abadilishe anunue galaxy kama ya lucy komba

Binam sikukuambia hivyook sasa kama mtaji wa samaki kanipa si ndio kunipa kila kitu huko au sio lazima aninunulie migariii
 
Last edited by a moderator:
Nilimwambiaga binamu nikutafutie pedeshee, akasema ooh msukuma wangu anajiweza ananipa kila kitu, kumbe anampa sato na sangara khaa!! Binamu muongo, ana vichambo vyake apa vya haja

Mim huyu huyu msukuma mkokoteni nimeridhika nae binam sitak mapedejeeee
 
Nilimwambiaga binamu nikutafutie pedeshee, akasema ooh msukuma wangu anajiweza ananipa kila kitu, kumbe anampa sato na sangara khaa!! Binamu muongo, ana vichambo vyake apa vya haja

Hahahahaha yani nimecheka sana binamu.Yeye anaona kapata kwa hizo sato na sangara wakati wenzake wanakula good time.Ungemtafutia may be sasa hivi angekuwa kaishabadilisha kale kavitz kake
 
Mi nna bajaji mwenzangu vitz niinyee wapii
 
Ngoja niweke leo pilipili Pakashume wasiponunua naroga haki ya mamaaa

mi ntakupeleka kwa bibi haki ya mama na ualimu huu tusaidiane nipate semina semina hizi maisha magumu jamani asante melo naondoa stress za ualimu
 
Binamu nyie muongo, sina hamu nae, aje dar na lori tucheze upatu uku kwetu kwa mtogore

umeona bora aje mwenzie na ualimu wangu nn upatu na vikoba nane life linasonga njoo dar binamu toka mwanza
 
Na kweli ndo maana umepauka na hivi jf kuipata mpaka uwe vumbini umepaukajeee,,afadhal we mshahara mi mpaka niuze samakii niongezee mtaji basiii

nisipauke mchezo chaki hizo na tb inaniita
samaki hao unywe maziwa tb ohooooo
 
Back
Top Bottom