Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

Zaidi ya mbali aisee aibu naona mimi .

Jamani party imeivaaaa aiseeee kuanzia kesho tusubiri vituko tucheke mpaka basiii maaana kuan watu wamevaaa wametamaniii waende uchiiiii
Waibua madanga
Shigongo kapata cha kuandiaka mwezi mzima
 
mashabiki wa dai hawajielewi mtu kawapisha kiroho safi mfanye yenu bado mnamuandama tu, au mlitaka aje hapo kwenye party ili mumfanyie kama ya enzi zile za diamonds are forever
 

na mbona dai katooooo......mba weng nashanga watu wanamuona wema tu
 
Achana nao hao ndugu yangu yaani wanavyomchukia wema sijui amewakosea nini,Bewemafanyawema.
 
Siku mbili baada ya bi harus kufunga ndia anaenda kukesha club? Huyo mume ni wa pekee
 
Siku mbili baada ya bi harus kufunga ndia anaenda kukesha club? Huyo mume ni wa pekee
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili so ulitaka akuage ww kwani ndiye mumewe.Muacheni mtoto wa watu afanya yake au ulitaka akuonyeshe na mumewe ndio ujue wako wote????kazi umbea tu na majungu
 
Kumbe ndio maana aliweka picha insta akiwa kavaa gauni la harusi?
Hana lolote huyo kaolewa na mume wa mtu.Kwanini afunge ndoa ya bomani? Yaleyale ya K-Lyn tu.

Hiv wema alisema mume wa nani anataka kumuoa connect dot may be may be
 
Hiv wema alisema mume wa nani anataka kumuoa connect dot may be may be

Madam hawez kuolewa na huyu ...Mumewe ni msukuma na hivyo sasa wako wote mwanza kuwasalimia wakwe na igpart ...bewemafanyawema
 
Aiseeee!yaani moderator mmeshachakachua makavu yangu jamani whyyyyyy!!mngeacha tu watu wasome jamani kwanini mmefuta comment zangu??birthay yangu halfu mnanifutia comment zangu???

Roho inaniuma sana!!ila sio issue naandika tena yale matusi mliyoyafuta,haiwezekani kabisaaa
 
Me sijui macho yangu ndio yamezeeka au vipi,naona kama wema ni binti mrembo tu,labda kasoro yake ni hizo tabia zake zinazosemwa na watu.
 
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili so ulitaka akuage ww kwani ndiye mumewe.Muacheni mtoto wa watu afanya yake au ulitaka akuonyeshe na mumewe ndio ujue wako wote????kazi umbea tu na majungu
hakuna ndoa ana hamu ya kiki tu huyu aliwai kuonesha kitumbo tukajua kidogo atatulia alee mwana kumbe sound tu,pete ya ndoa inavaliwa mkono wa kushoto but yy kavaa kulia cheki insta umuone mke wa mtu anakonyeza watu na kuonesha umbo lake huku anarembua.
 
du naona watu wanalipana keshiiii,naam hakuna kukopeshana.za USO live eeh mana watu wanaaibishaaaaa,watu wanajiaibishaaa
 
Kuna wakati inabidi utenge usanii na maisha halisi, huyu wema naona yeye kila kitu Bongo movie
 
Huyu binti ni mshirikina wa kutisha. i guess anaweza pia kuwa mganga wa jadi au mganga wa kilugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…