Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Duuuu yamefika huko
Zaidi ya mbali aisee aibu naona mimi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuu yamefika huko
Zaidi ya mbali aisee aibu naona mimi .
Hahahahaha ID ID ID ukisikia jwiiiiiii ujue kamekwidwa..... ngoja nisiingie sana humo manake umenisoma vyema na umenielewa. .....niogopwe mie Mungu??? Mbona kuosha rungu ndo habare ya mjini? Ukitaka asiyesuuza rungu umba wako au aingizie kwapani ndio rungu halitasuuzika.
Okay malaya tuko mwanza hopeful na kule ni
anga zako maana usingejua malaya wako mwanza kama sio kijiwe Chako cha mauzo.
Hahahahaha ID ID ID ukisikia jwiiiiiii ujue kamekwidwa..... ngoja nisiingie sana humo manake umenisoma vyema na umenielewa. .....niogopwe mie Mungu??? Mbona kuosha rungu ndo habare ya mjini? Ukitaka asiyesuuza rungu umba wako au aingizie kwapani ndio rungu halitasuuzika.
Okay malaya tuko mwanza hopeful na kule ni anga zako maana usingejua malaya wako mwanza kama sio kijiwe Chako cha mauzo.
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili so ulitaka akuage ww kwani ndiye mumewe.Muacheni mtoto wa watu afanya yake au ulitaka akuonyeshe na mumewe ndio ujue wako wote????kazi umbea tu na majunguSiku mbili baada ya bi harus kufunga ndia anaenda kukesha club? Huyo mume ni wa pekee
Kumbe ndio maana aliweka picha insta akiwa kavaa gauni la harusi?
Hana lolote huyo kaolewa na mume wa mtu.Kwanini afunge ndoa ya bomani? Yaleyale ya K-Lyn tu.
Hiv wema alisema mume wa nani anataka kumuoa connect dot may be may be
hakuna ndoa ana hamu ya kiki tu huyu aliwai kuonesha kitumbo tukajua kidogo atatulia alee mwana kumbe sound tu,pete ya ndoa inavaliwa mkono wa kushoto but yy kavaa kulia cheki insta umuone mke wa mtu anakonyeza watu na kuonesha umbo lake huku anarembua.Ndoa ni makubaliano ya watu wawili so ulitaka akuage ww kwani ndiye mumewe.Muacheni mtoto wa watu afanya yake au ulitaka akuonyeshe na mumewe ndio ujue wako wote????kazi umbea tu na majungu
well saidhuyu binti anawehuka muda si mrefu.
Hiv wema alisema mume wa nani anataka kumuoa connect dot may be may be