Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Unajua Wema simuelewagi. Si mchukii ila sidhani kama ana akili kiasi kwamba anaweza kumsema Chibu ana IQ ndogo. Yaani kati ya vijikundi vyoote ameona Dougimasta na Matikibokoyao ndio watu wakujihusisha nao. Ni wazi kabisa yeye ndio anampaga siri na maneno mengi amabayo Dougimasta anamtukaniaga Chibu na ndugu zake. Yaani Dougimasta vile alivyomtukana Romyjons wa watu, na kila leo matusi kwa Chibu. Halafu kwa haya matusi yoote Wema anategemea eti akimtumia Chibu meseji hata kama ni ya kumjulia mama yake hali eti Chibu amjibu. Kwa kweli hata kama Chibu alikua ana mapenzi bado moyoni na Wema, kwa tabia hii ya Wema kumkumbatia Dougimasta, lazima hasira na mapenzi ya potee.
Dougimasta, Matikibokoyao, Wema, martinkadinda wamekaa chini wakaona hii sherehe ya Zari imeshika moto sana wakaona wadanganye eti Wema kaolewa. Ile kadi ya mualiko nyekundu Dougimasta aliweka insta ni ya kugoogle, lile BMW lenye uwa mbele ni la kugoogle, huyu msichana hajaolewa ile nguo ya harusi amevaa ilikua ni movie ana shoot au tangazo. Sasa najiuliza ni akili gani kutangaza umeolewa na hawa akina Dougiemasta kujishaua huko insta eti wamealikwa kwenye after party. Ni ujinga uliokithiri angefanya tu mambo yake. Halafu dougimasta bado anamtukana Chibu eti ni mbunge wa maji machafu etc. Duh!
Huyu dada anaitwa who-is-the -boss huko insta, somehow I like her. Anamtetea Chibu na Zari by proving a lot of what Dougiemasta na teamwema post about Chibu na Zari to be lies. Ila to be honest matusi mengi huanza na team wema wakiongozwa na huyo Dougiemasta. In short Wema amejiharibia sana, no wonder Diamond doesnt want to remain friends na yeye. He is still friends na Penny, imagine of all women, Penny alitakiwa amchukie sana Diamond kwa aliyomtenda lakini wala they are good friends, hata Kidoti. Ila Wema ulimbukeni umezidi, mwanamke ukiwa mrembo lakini una maudhi na tabia zisizo faa hauta dumu na wanaume.
Dougmasta na matikibokoyao kumbe wanakupa ugonjwa wa moyo eehh? Uliza ujibiwe kuhusu uhusiano wa dogi na wema. Tatizo hamjui kwamba mashabiki wa wema hawajawahi kumuona wema hata siku moja zaidi ya matikibokoyao kipindi amekamatwa. Tena alimuona baada ya mati kumuita kuona km anaweza kutoa msada ambao hakuutoa akautoa didamitikisiko. Mlizidi kumuonea wema ndo maana wamejitokeza watetezi wa hiari bila malipo. Wema ana die hard fans ambao wako dunia nzima km hujui na wema hajawahi hata kuwatia kidole.