Dotto Mnzava
R I P
- Mar 6, 2014
- 864
- 427
Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuliwa na watu wachache. Akizungumza na Clouds FM alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa 'juju' na mumewe angeshindwa kumuoa.
Hata hivyo alipoulizwa kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba alisema kuwa mumewe amelikubali na hana tatizo.
==============
Hata hivyo alipoulizwa kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba alisema kuwa mumewe amelikubali na hana tatizo.
==============
Chanzo: CloudsFMStaa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuriwa na watu watano.![]()
Akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa juju na mumewe kushindwa kumuoa.
Mume wangu ni Mtanzania na siyo maarufu na ndoa yangu ilihudhuliwa na ndugu zangu wachache na ndugu wa mume wangu sikutaka watu wengi niliogopa kupigwa juju na mume wangu asingenioa,alisema Wema.
Alipoulizwa kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba mumewe alilichukuaje alisema kuwa hana tatizo naye na amekubali kuishi hivyo hivyo.