Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
acha umbea mkali, umbea haupendezi kwa mtoto wa kiume utabanduliwa.
we ushabanduliwa mara ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha umbea mkali, umbea haupendezi kwa mtoto wa kiume utabanduliwa.
nasikia demu anajipeleka kwa ALLY KIBA..mama yangu we huyu dogo akikosea akatemwa na Wema tu sasa hivi atakuwa mr nice aisee.
USHAURI WANGU..Dodo Ndomo bora ukubali kuwa bushoke tu ila usiachana na Wema..utake usitake unasafiria nyota yake..
Yaani kuwa star kazi,mi ningekuwa star nisingeweza kudumu na demu kwa ajili tetesi kama hizi,hata kama unampenda ukisoma article kama hii lazima uachane
Kiruuuuuuuuu ngoma inogile
wameona wako kimya wanatafuta attention
ngastuka!
Dinazarde numeshakukatia ticket ya ndege, jion uje tukafanye sherehe kempiski, sijui team Nyani leo itakuwaje uko insta
nifah mi napenda sana,we utaweza kila siku unasikia mpenzi wako yupo na huyu,kapewa gari na flani,kaenda China na flani na wala si jinsia moja,ngumu sana kwangu