Wema ammwaga Diamond, safari hii ndo basi Tena

Wema ammwaga Diamond, safari hii ndo basi Tena

Yaani kuwa star kazi,mi ningekuwa star nisingeweza kudumu na demu kwa ajili tetesi kama hizi,hata kama unampenda ukisoma article kama hii lazima uachane
 
nasikia demu anajipeleka kwa ALLY KIBA..mama yangu we huyu dogo akikosea akatemwa na Wema tu sasa hivi atakuwa mr nice aisee.
USHAURI WANGU..Dodo Ndomo bora ukubali kuwa bushoke tu ila usiachana na Wema..utake usitake unasafiria nyota yake..

Hahahaaaaa eti anajipeleka kwa nani????
 
Yaani kuwa star kazi,mi ningekuwa star nisingeweza kudumu na demu kwa ajili tetesi kama hizi,hata kama unampenda ukisoma article kama hii lazima uachane

Wewe hujapenda bado....
 
Hata mimi nina mashaka na hii couple jamani...manake kwenye bday ya diamond mwenyewe hakuonekana kuwa na raha...watu wakawa wanasema kichinichini....muda utatuambia bado mapema
 
Wewe hujapenda bado....
nifah mi napenda sana,we utaweza kila siku unasikia mpenzi wako yupo na huyu,kapewa gari na flani,kaenda China na flani na wala si jinsia moja,ngumu sana kwangu
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde numeshakukatia ticket ya ndege, jion uje tukafanye sherehe kempiski, sijui team Nyani leo itakuwaje uko insta

Ndoa ya uwanja wa Taifa wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ina maana wema anampendea pesa dai etiiiiii
Dai sepa tafuta kifaa kipyaaa kibichiiiii
 
Last edited by a moderator:
Daimond ni wa kiumeee na siku zote nabii hakubaliki kwaooo,Dai hukatagi tamaa achana na huyi kibwengo mademu wengi wanakutakaa chagua tuu kama nyanya sokoniiii
Wema mnafiki anajifanyaga anampenda Daimond kumbe anampendea pesa,,looooooo
Heaven on Earth njoo utuhakikishie hili ni kwelii maana najua waipenda hii couple
 
Last edited by a moderator:
Jamani tusipoteze mda tushike jembe tukalime
 
Nawakubali sana wema na diamond wanavyoweza kucheza na magazeti,mtu usipokuwa makini unaweza ukaamini drama zao kumbe ni publicity stunts tu.
 
Wema anategemea pesa ya diamond;
Diamond anategemea kung'arishwa na wema;
.............. kuachana siyo rahisi,
wanapunga pepo mwanaharamu apite tu.
 
nifah mi napenda sana,we utaweza kila siku unasikia mpenzi wako yupo na huyu,kapewa gari na flani,kaenda China na flani na wala si jinsia moja,ngumu sana kwangu

Kama unampenda lazima umuamini...sasa kama unamuamini hayo maneno yatakubabaisha kweli?
 
Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1414746181.826719.jpg
 
Tusubiri waseme kwa midomo yao wenyeweeee
 
Back
Top Bottom