BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Anashindana na Diamond ataweza? ntashangaa kama atakuwa anatembea na Ommy Dimpoz
Heheeeeeeeee na badoooooo mnasema zari anapenda kurusha mapicha je wema,ataliwa mpaka na best naso
Umuofia kwenu!Eem let mi kujitutumua kuuliza kizungu becoz ze lugha ya taifa iz hard for forenaz.Zis nearby for Wema Sepetu and ze msanii zis Ommy dimpoz iz kukaaje?zey kupiga picha tata zea Sauz Africa now adayz Wat iz goin on??Senkyu.
Bado na mimi kumla huyo cha wote.
Aaaaku alichopewa na Mungu bure kumnyima mwanaume dhambi

hebu kuja huku inbox mrembo kauli yako tu mm hoi.
Updates:jamani jana king karusha picha zake akiwa na madame wema na masogange uuuuuwiiiiiii
Ina maana kwa kuwa kaachana na domo asiendelee na maisha yake?????
Halafu mbona wabongo mmeconclude mapema ilhali hamjui ni nini kinaendelea???
Na si "inasemekana" ommy ni mchelemchele???
Heheeeeeeeee na badoooooo mnasema zari anapenda kurusha mapicha je wema,ataliwa mpaka na best naso
Mwacheni na maisha yake jamani mnavyomfuatilia kila analofanya naye ana uhuru na anachokifanya .Mleta mada hana uhakika vilevile kama mada inavyojieleza. Na yeye si wa kwanza kuachwa na Diamond kwanini iwe kero kwake tu jamani.Kuwa wapenzi na kuachana ni jambo la kawaida hata kwa wasio mastaa sasa kipi cha ajabu sana kwa wema mpaka mnamuandama kiasi hiki. baadhi ya wadau jukwaa hili mnavyomuandama dada wawatu mpaka daaah.