Wema and Ommy Dimpoz, Hii nayo ni project?

Umuofia kwenu!Eem let mi kujitutumua kuuliza kizungu becoz ze lugha ya taifa iz hard for forenaz.Zis nearby for Wema Sepetu and ze msanii zis Ommy dimpoz iz kukaaje?zey kupiga picha tata zea Sauz Africa now adayz Wat iz goin on??Senkyu.

hana jipya.
 
Updates:jamani jana king karusha picha zake akiwa na madame wema na masogange uuuuuwiiiiiii
 
Attachments

  • 1423373514116.jpg
    1423373514116.jpg
    40 KB · Views: 987
  • 1423373563868.jpg
    1423373563868.jpg
    43 KB · Views: 952
Mwacheni na maisha yake jamani mnavyomfuatilia kila analofanya naye ana uhuru na anachokifanya .Mleta mada hana uhakika vilevile kama mada inavyojieleza. Na yeye si wa kwanza kuachwa na Diamond kwanini iwe kero kwake tu jamani.Kuwa wapenzi na kuachana ni jambo la kawaida hata kwa wasio mastaa sasa kipi cha ajabu sana kwa wema mpaka mnamuandama kiasi hiki. baadhi ya wadau jukwaa hili mnavyomuandama dada wawatu mpaka daaah.
 
Ina maana kwa kuwa kaachana na domo asiendelee na maisha yake?????

Halafu mbona wabongo mmeconclude mapema ilhali hamjui ni nini kinaendelea???

Na si "inasemekana" ommy ni mchelemchele???

Ok....wanaomjua vzuri huyu ommy dimpoz waje hapa kutupa fununu
 
Heheeeeeeeee na badoooooo mnasema zari anapenda kurusha mapicha je wema,ataliwa mpaka na best naso

Kuhusu ommy nadhan wanashoot video south...kuhusu ivan najua atakuwa ameenda kuchovyesha baada ya kumtafuta kama Rupia ya mjerumani
 
Mwacheni na maisha yake jamani mnavyomfuatilia kila analofanya naye ana uhuru na anachokifanya .Mleta mada hana uhakika vilevile kama mada inavyojieleza. Na yeye si wa kwanza kuachwa na Diamond kwanini iwe kero kwake tu jamani.Kuwa wapenzi na kuachana ni jambo la kawaida hata kwa wasio mastaa sasa kipi cha ajabu sana kwa wema mpaka mnamuandama kiasi hiki. baadhi ya wadau jukwaa hili mnavyomuandama dada wawatu mpaka daaah.

Wewe unaelezea kwa hisiiiia mwenyewe.Hamna alomwandama kuwa on the spotlight anapenda ndo maana anarusha kila kitu mtu aone.
 
Alisema dimondi anasafiria nyota yake..manina zake...jamaa bado anatesa na sasa yupo na sexy mama zari..daaaah.
 
Ina maana kwa kuwa kaachana na domo asiendelee na maisha yake?????
Halafu mbona wabongo mmeconclude mapema ilhali hamjui ni nini kinaendelea???

Na si "inasemekana" ommy ni mchelemchele???

Mkuu BADILI TABIA naomba twende taratibu! Ktk orodha yng ya wasanii mchele mchele huyu sina, unashauri nimuongeze!
Ila mbn anaelekea kabisa!
Daaah! Hii dunia hii!
 
Last edited by a moderator:
Mwacheni na maisha yake jamani mnavyomfuatilia kila analofanya naye ana uhuru na anachokifanya .Mleta mada hana uhakika vilevile kama mada inavyojieleza. Na yeye si wa kwanza kuachwa na Diamond kwanini iwe kero kwake tu jamani.Kuwa wapenzi na kuachana ni jambo la kawaida hata kwa wasio mastaa sasa kipi cha ajabu sana kwa wema mpaka mnamuandama kiasi hiki. baadhi ya wadau jukwaa hili mnavyomuandama dada wawatu mpaka daaah.

Umesema na yakwangu!
 
Back
Top Bottom