BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Ina maana kwa kuwa kaachana na domo asiendelee na maisha yake?????
Halafu mbona wabongo mmeconclude mapema ilhali hamjui ni nini kinaendelea???
Na si "inasemekana" ommy ni mchelemchele???
Anashindana na Diamond ataweza? ntashangaa kama atakuwa anatembea na Ommy Dimpoz
Halafu mbona wabongo mmeconclude mapema ilhali hamjui ni nini kinaendelea???
Na si "inasemekana" ommy ni mchelemchele???