Wema atakwa kujifunza kuweka breki mdomoni

Mheshimiwa wema sepetu mtaipenda tuu

Kuchukua frm si tatizo mangula hafugi vichaa subiri uone 2010 wengi waliingia kwa sofa maalum wauza mbunye kibao....mwaka huu wataisikia tu tupa kule
 
Mh. Wema Sepetu...
Sipati picha madame akiwa bungeniiii....

All the best,
 
Jamani mmemnyamba mzurimie adi kaomba uzi ule wa davido ublokiwe looh..

Kiki leo mumempa kwa sana tu na uzi umefungwa na mods kama kawaida usidanganye watu, naona unamchokoza tu facts anakumwagiaga hadi unakimbia sasa si ufanye yako humu unamtafuta sababu kashinda aaaagghh.
mzurimie ni mpambanaji na ushikilia kitu hawezi kujisalimisha kwa nilivyozoea kumsoma. hauoni anavyosimamiaga ya Diamond utazani anajuana nae, wewe ndugu yako msanii Ali au sio?

humu ni JF sio pa kukalia na uchungu mtaugua bure
 
Last edited by a moderator:
Mamy ata mimi si ndio nashangaa uzi umefungwa itakua bibie kaenda kulia lia.

Mwenzangu acha tu.Nilikua ninatype nasubmit mara naambiwa thread imeshafungwa!
 
Kiki leo mumempa kwa sana tu na uzi umefungwa na mods kama kawaida usidanganye watu, naona unamchokoza tu facts anakumwagiaga hadi unakimbia sasa si ufanye yako humu unamtafuta sababu kashinda aaaagghh.
mzurimie ni mpambanaji na ushikilia kitu hawezi kujisalimisha kwa nilivyozoea kumsoma. hauoni anavyosimamiaga ya Diamond utazani anajuana nae, wewe ndugu yako msanii Ali au sio?

humu ni JF sio pa kukalia na uchungu mtaugua bure

Wewe una wadudu wanakutekenya maeneo flan si bure
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu acha tu.Nilikua ninatype nasubmit mara naambiwa thread imeshafungwa!

Eti huyo popoma anasema mods ndo wamefunga bila kuambiwa inakuingia akilin kweli mamy
 
Kwani nae si ndio walewale? Wewe unategemea mwizi aseme mwizi mwenzie kaiba?
 
Hahahaaaaa nifah unavituko weyee

Hahahahaaa ndio hivyo mwenzangu. Wenzetu wamejaaliwa roho ngumu na ya kujifariji, kweli kwao ni uwongo na uwongo ni kweli.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa ndio hivyo mwenzangu. Wenzetu wamejaaliwa roho ngumu na ya kujifariji, kweli kwao ni uwongo na uwongo ni kweli.

Basi uko kwao mzurimie ndo mtu mwenye hoja si umeona wanavyomtetea hahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa labda nyetizake zikishika break ndio ataacha
 
Kiki leo mumempa kwa sana tu na uzi umefungwa na mods kama kawaida usidanganye watu, naona unamchokoza tu facts anakumwagiaga hadi unakimbia sasa si ufanye yako humu unamtafuta sababu kashinda aaaagghh.
mzurimie ni mpambanaji na ushikilia kitu hawezi kujisalimisha kwa nilivyozoea kumsoma. hauoni anavyosimamiaga ya Diamond utazani anajuana nae, wewe ndugu yako msanii Ali au sio?

humu ni JF sio pa kukalia na uchungu mtaugua bure

heheeeeree chezeiyaaaaaaaaaaaaa mzurimie weyeeee alaaaaaaaaaa ni kiboko Yao habareeeee wanazoooooo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom