tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
O M G ..., Noma sana hii.
Haya ndo matatizo ya kutokua makini na profile binafsi ktk maisha..ilhali hujui mbeleni utataka kuwa nani
Mkuu siasa imevamiwa n vichaa,wezi n malaya yani fujo 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
O M G ..., Noma sana hii.
Haya ndo matatizo ya kutokua makini na profile binafsi ktk maisha..ilhali hujui mbeleni utataka kuwa nani
Mheshimiwa wema sepetu mtaipenda tuu
Jamani mmemnyamba mzurimie adi kaomba uzi ule wa davido ublokiwe looh..
Mamy ata mimi si ndio nashangaa uzi umefungwa itakua bibie kaenda kulia lia.
Kiki leo mumempa kwa sana tu na uzi umefungwa na mods kama kawaida usidanganye watu, naona unamchokoza tu facts anakumwagiaga hadi unakimbia sasa si ufanye yako humu unamtafuta sababu kashinda aaaagghh.
mzurimie ni mpambanaji na ushikilia kitu hawezi kujisalimisha kwa nilivyozoea kumsoma. hauoni anavyosimamiaga ya Diamond utazani anajuana nae, wewe ndugu yako msanii Ali au sio?
humu ni JF sio pa kukalia na uchungu mtaugua bure
Mwenzangu acha tu.Nilikua ninatype nasubmit mara naambiwa thread imeshafungwa!
Eti huyo popoma anasema mods ndo wamefunga bila kuambiwa inakuingia akilin kweli mamy
Wewe una wadudu wanakutekenya maeneo flan si bure
Hahahaaaa basi mwenzako badala ya kufanya upelelezu hahqhahaaaa kaja kufungua uzi akijua analisha watu ndimu...na nyie hamna dogo looh mmemchambaAmekua mzushi zushi shoga wa mie, kama Mange anakurupuka tuuu
Hahahaaa kwa nini chacha maembe mabichi yalianza kuumiza meno yao?Dinazarde ameomba ufungwe.
Mbunge mtarajiwa ahaahahahahaaaa!!woooooiyiiii!kutoka Kikatiti mpaka usa river,tigo wamefikaaaaaa!
Haaaa mkuu ipo kikatiti nipo majani ya chai hapa
ahahahaa!!basi nitakupitia maana sasa hivi tiGo wanatokea Mbuyuni uelekeo ngurudoto