Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa labda nyetizake zikishika break ndio ataacha
Mkuu kumbe ww dume alaf huwa una jifanya jike na ID yako tusha kujua
Mkuu kumbe ww dume alaf huwa una jifanya jike na ID yako tusha kujua
akikusikia lazima awe na bifu na ww
Hahahahaaa, kuna watu wana stress humu hadi hawajui wanachokiongea.Kwa nini awe na bifu na mimi? Aliyeandika kwani ni mimi?
Hahahahaaa, kuna watu wana stress humu hadi hawajui wanachokiongea.
Kama mimi hivi nilivyobadili avatar sababu ya mwezi wa Ramadhani basi kuna chizi anatamba...mambo mengine yanachekesha sana.
Ushamba mzigo jamani, watu muwage updated basi?
Hahahahaaa, yule chizi anaucheza mziki wangu basi najikuta nacheka tu.Wanakurupuka tuu hao hahahaaaa
RAMADHAN QAREEM MUMY MWAYA.
Hahahahaaa, yule chizi anaucheza mziki wangu basi najikuta nacheka tu.
Halafu mimi hata sina habari naye sasa..lol
Thanks love.
Hata nakumbuka basi? Ila ni hapahapa celebrities. ..Ni nani huyo mumy kweny uzi gani?
Ila twende mbele turudi nyuma, nampendaga mzurimie maana hanaga taabu na mtu ni hivi tu kachanganyikiwa masikini.
Hajui hata kumtukana mtu, yake ni magazeti tu...lol
Hii ndiyo tunayoiita mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Yeah, nampenda kwakweli.Very true yake huwa ni magazeti na kumtetea mond wake hana shida na mtu hakati tamaa.