Wema atakwa kujifunza kuweka breki mdomoni

Wema atakwa kujifunza kuweka breki mdomoni

cute b

akikusikia lazima awe na bifu na ww
 
Last edited by a moderator:
Basi uko kwao mzurimie ndo mtu mwenye hoja si umeona wanavyomtetea hahahaaaaa

Ila twende mbele turudi nyuma, nampendaga mzurimie maana hanaga taabu na mtu ni hivi tu kachanganyikiwa masikini.
Hajui hata kumtukana mtu, yake ni magazeti tu...lol
Hii ndiyo tunayoiita mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Last edited by a moderator:
cute b

Mkuu kumbe ww dume alaf huwa una jifanya jike na ID yako tusha kujua
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini awe na bifu na mimi? Aliyeandika kwani ni mimi?
Hahahahaaa, kuna watu wana stress humu hadi hawajui wanachokiongea.
Kama mimi hivi nilivyobadili avatar sababu ya mwezi wa Ramadhani basi kuna chizi anatamba...mambo mengine yanachekesha sana.
Ushamba mzigo jamani, watu muwage updated basi?
 
Wanakurupuka tuu hao hahahaaaa
RAMADHAN QAREEM MUMY MWAYA.
 
Wanakurupuka tuu hao hahahaaaa
RAMADHAN QAREEM MUMY MWAYA.
Hahahahaaa, yule chizi anaucheza mziki wangu basi najikuta nacheka tu.
Halafu mimi hata sina habari naye sasa..lol
Thanks love.
 
Hahahahaaa, yule chizi anaucheza mziki wangu basi najikuta nacheka tu.
Halafu mimi hata sina habari naye sasa..lol
Thanks love.

Ni nani huyo mumy kweny uzi gani?
 
Ila twende mbele turudi nyuma, nampendaga mzurimie maana hanaga taabu na mtu ni hivi tu kachanganyikiwa masikini.
Hajui hata kumtukana mtu, yake ni magazeti tu...lol
Hii ndiyo tunayoiita mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Very true yake huwa ni magazeti na kumtetea mond wake hana shida na mtu hakati tamaa.
 
Last edited by a moderator:
Vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
Sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa
 
Back
Top Bottom