Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Status
Not open for further replies.
Wanatakiwa waanikwe wote na picha zao hapa
Nalifanyia kazi kila kitu kitawekwa hapa hadharani baada ya muda ili watanzania ukweli waujue na waliopanga mpango huu wote wanajulikana.
 
Na hii voice note ya pili je...anayosema sio yy aliyerokodi ni mwenyekiti...tena inaonekana alikua anamwambia steve nyerere...naona steve kaamua kuwakomesha na wao
Preach!
 
Hapo ndo wameharibu kabisaa..,bora wangeacha ileile sauti kwani baadhi ya watu walibaki dillema kama waaamini au wasiamini,sasa hii ya sasa hivi imekuja kudhihirisha kua ni mchezo tu unaofanyika.
 
Hapa mpaka nione video wema anaongea hayo maneno.
Ukanjanja mwingi
 
Tehehe tehe,amejibu kibashite kushoto kulia,demokrasia na uzinifu mh madawa ya kulevya na vyeti.
 
Acheni kutapatapa mnazidi kumchafua Mwenyekiti.

Labda utuambie hayo maneno kasema kwenye Platform gani Facebook,Instagram au Titwer na sisi twende tukajionee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…