Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,107
- 1,056
Steve mi nimechoka bhana .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nalifanyia kazi kila kitu kitawekwa hapa hadharani baada ya muda ili watanzania ukweli waujue na waliopanga mpango huu wote wanajulikana.Wanatakiwa waanikwe wote na picha zao hapa
Preach!Na hii voice note ya pili je...anayosema sio yy aliyerokodi ni mwenyekiti...tena inaonekana alikua anamwambia steve nyerere...naona steve kaamua kuwakomesha na wao
Hapana yule wa mumeoWema gan yule ubavu wa mwenyekiti wetu au mwingine
Si aseme tu la Yesu,kwani shida nini?ampaye pumzi anamjua jina kweli!
Kwani washaanza bandu bandu kubandua gogo la asali?shemela wa bavicha
Au ndo yule shemela wetu vijana wa ufipaHapana yule wa mumeo
hivi alisema steve au tiv?Steve mi nimechoka bhana .....
Ukitaja vyeti usirudi DSM.Tehehe tehe,amejibu kibashite kushoto kulia,demokrasia na uzinifu mh madawa ya kulevya na vyeti.