Kweli Uyu si Mwanamke wa Kuoa. Yani anaacha kufanya ya maana anakomalia upuuzi upuuzi tu
Mtazamo wangu.
Aunty hana kosa nionavyo alipost msg ya vodacom waliyomtumia sema bi dada anapenda kuabudiwa kama Mungu. hawezi dumu na marafiki.
sana tu anapenda kuabudiwa mnooo
ht hvyo anti mvumilivu
Kamvulia kofia zari, ila sikuelewa kwa nn alimtag ney na shamsa, had diamond aliuliza
Yaan ukiwa na urafiki na wema uwe msukule akigombana na mtu nawe huyo mtu ugombane nae sasa Daimond si alimuacha mwenyewe ya nini kumchukia zari ,,,,,yaan wema utafikiri alimzaa diamond
diamond akasemaje.... siko insta nakosaje ma exclusive
Nimekumisije,yani nikikuona wewe na Heaven on Earth uwa napata nguvu sana, tumetoka mbali ahahaha ahaha
Umbea umekukaba
hhaaaaaa Enzi za beiber yaani biamu ile siku siji kuisaau