Wema, Aunty "Kimenuka" kisa Zari

Wema, Aunty "Kimenuka" kisa Zari

Huu urafiki wa hivi!yaani nadhiri ya mtu mmoja watu wote tuenee vitezo!yaani maana yake ukikosana na mtu basi wote tukosane nae!imekaa kiutumwa flan hivi!
 
Naona Wema anajaribu kuzuia mafuriko kwa kiganja
 
Aunty hana kosa nionavyo alipost msg ya vodacom waliyomtumia sema bi dada anapenda kuabudiwa kama Mungu. hawezi dumu na marafiki.

sana tu anapenda kuabudiwa mnooo
ht hvyo anti mvumilivu
 
Akaandika hivi nifah

Mhhhh shoga hapa Aunt alikua na lake jambo! Hata hivyo wema ana chuki na kinyongo kibaya sana kama baadhi ya mashabiki wake.
Wengine tupo nao hapa hapa JF!
 
Last edited by a moderator:
Sana aisee aunty kamvumilia sana yule mtoto ni gunia la misumari acha abaki martin kadinda na petitman. Ila hata Chibu alimvumilia sana Wema kwa tabia zake.Puuuuu.
sana tu anapenda kuabudiwa mnooo
ht hvyo anti mvumilivu
 
Yaan ukiwa na urafiki na wema uwe msukule akigombana na mtu nawe huyo mtu ugombane nae sasa Daimond si alimuacha mwenyewe ya nini kumchukia zari ,,,,,yaan wema utafikiri alimzaa diamond
 
Yaan ukiwa na urafiki na wema uwe msukule akigombana na mtu nawe huyo mtu ugombane nae sasa Daimond si alimuacha mwenyewe ya nini kumchukia zari ,,,,,yaan wema utafikiri alimzaa diamond

Nimekumisije,yani nikikuona wewe na Heaven on Earth uwa napata nguvu sana, tumetoka mbali ahahaha ahaha
 
Last edited by a moderator:
hhaaaaaa Enzi za beiber yaani biamu ile siku siji kuisaau

AHahahahaha yani khaaa....nilikuwag kichaa, yani nimetoka mbalii, watu hawajui uko nyuma nilikuwa na utitiri wa ID ,yote hayo kutafuta umaarufu, nikafanya ujinga, upuuzi mpaka kimeeleweka aseeh, khaa achen tu wakina wema wafanye drama maana usupa staa raha sana
 
Back
Top Bottom