Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Haya jamani kwa Huddah kumekucha insta...kamshushia mapange Mange basi wadau wanajirusha na yote...mie kama kawa ni msoma koments 10 au 15 gazeti ni lina comments 750 hadi sasa....
YE ndio staa bwana, mbona hajamchukia idris aliyehudhuzuria white party na kuongea na zari
Haya jamani kwa Huddah kumekucha insta...kamshushia mapange Mange basi wadau wanajirusha na yote...mie kama kawa ni msoma koments 10 au 15 gazeti ni lina comments 750 hadi sasa....
Mi kaniblock jamanii na hua sikoment kwake,,hebu turushieko hapa
MIMI kwa ukweli sioni ustaa, maana hawabehave ipasavyo....YE ndio staa bwana, mbona hajamchukia idris aliyehudhuzuria white party na kuongea na zari
YE ndio staa bwana, mbona hajamchukia idris aliyehudhuzuria white party na kuongea na zari
Yaani baada ya kuona Huddah kaandika haya ikabidi niende uturn maana siku hizi sio gazeti langu hilo uturn....kumbe alishapostigi kuwa Huddah hakwenda kwenye party ya Zari sababu alikuwa na mwanaume chumbani akajisahau kuamka ni kumekucha....then anaomba pooo kuwa lazima Huddah atamjibu kwa kiingereza sasa kampa kwa kiswahili...lol (ni mengi ameandika hadi kutaja bwana wake aliekua nae) ila ya chumbani sijui aliingia akawaona mie mshangaooooooo
Screenshots hizi hapa
warumi usisahau kutuletea habari hii pia
Mpaka nimefungu id nyingine nimeona hhhhaaa eti maumivu yakizidi muone daktarii
Mpaka nimefungu id nyingine nimeona hhhhaaa eti maumivu yakizidi muone daktarii
Binamu kumekucha tena. Naona Rachel temu anamchamba mbuta nanga, sijui wamefanyana nini tena
Recho tem anatumia username ipii
Nafikiri ni @tempestitously, ingawa account yake ni private. Mtafute fb utaona pia hiyo michambo
Fb siko wallah huko patanisamehee
Mange kammjibu tena huyo Huddah kamwandikia makala ndefu utadhani thesis ya PhD. Mange hatari aiseeeHaya jamani kwa Huddah kumekucha insta...kamshushia mapange Mange basi wadau wanajirusha na yote...mie kama kawa ni msoma koments 10 au 15 gazeti ni lina comments 750 hadi sasa....
Mange kammjibu tena huyo Huddah kamwandikia makala ndefu utadhani thesis ya PhD. Mange hatari aiseee
Yaani ni anajiamini mnoo unaogopa ww unaesoma yeye hana habari. Halafu anauwezo mmkubwa wa uandishi aisee maana makala zake kibokoo.Hhhhhaaa siku hizi mange ananifurahisha balaaa yaan huyo mwanamke haogopi kitu aisee au kwq vile yupo mbali anajua watanifanya niniii yaam kile ni kichwaa na ana uwezo wa kuandika makala hayoo sie tujichekiee tu
Mi kaniblock jamanii na hua sikoment kwake,,hebu turushieko hapa