Wema, Aunty "Kimenuka" kisa Zari

Wema, Aunty "Kimenuka" kisa Zari

Haya jamani kwa Huddah kumekucha insta...kamshushia mapange Mange basi wadau wanajirusha na yote...mie kama kawa ni msoma koments 10 au 15 gazeti ni lina comments 750 hadi sasa....

Nilijua tu kitanuka kati yake na Huddah
 
YE ndio staa bwana, mbona hajamchukia idris aliyehudhuzuria white party na kuongea na zari

Wema naye abadilike tabia yake naona ata changanyikiwa na domo afanye yake sio kuhangaika na kugombana na marafiki.
 
Haya jamani kwa Huddah kumekucha insta...kamshushia mapange Mange basi wadau wanajirusha na yote...mie kama kawa ni msoma koments 10 au 15 gazeti ni lina comments 750 hadi sasa....

Mi kaniblock jamanii na hua sikoment kwake,,hebu turushieko hapa
 
IVi inakuaje mtu una comment kwa mtu halafu comment inagoma? Maana mimi niki comment kwa wema, wolper n karibia mastaa inakataa, ina maana wamen block au? Basi watakuwa wana kazi ya ziada.
 
Yaani baada ya kuona Huddah kaandika haya ikabidi niende uturn maana siku hizi sio gazeti langu hilo uturn....kumbe alishapostigi kuwa Huddah hakwenda kwenye party ya Zari sababu alikuwa na mwanaume chumbani akajisahau kuamka ni kumekucha....then anaomba pooo kuwa lazima Huddah atamjibu kwa kiingereza sasa kampa kwa kiswahili...lol (ni mengi ameandika hadi kutaja bwana wake aliekua nae) ila ya chumbani sijui aliingia akawaona mie mshangaooooooo

Screenshots hizi hapa
warumi usisahau kutuletea habari hii pia
 
Attachments

  • 1431004176091.jpg
    1431004176091.jpg
    36.8 KB · Views: 524
  • 1431004194330.jpg
    1431004194330.jpg
    40 KB · Views: 1,105
Last edited by a moderator:
Yaani baada ya kuona Huddah kaandika haya ikabidi niende uturn maana siku hizi sio gazeti langu hilo uturn....kumbe alishapostigi kuwa Huddah hakwenda kwenye party ya Zari sababu alikuwa na mwanaume chumbani akajisahau kuamka ni kumekucha....then anaomba pooo kuwa lazima Huddah atamjibu kwa kiingereza sasa kampa kwa kiswahili...lol (ni mengi ameandika hadi kutaja bwana wake aliekua nae) ila ya chumbani sijui aliingia akawaona mie mshangaooooooo

Screenshots hizi hapa
warumi usisahau kutuletea habari hii pia

Mpaka nimefungu id nyingine nimeona hhhhaaa eti maumivu yakizidi muone daktarii
 
Last edited by a moderator:
Mpaka nimefungu id nyingine nimeona hhhhaaa eti maumivu yakizidi muone daktarii

Kumekucha tucheke sie sura zetu zisizeeke.

Hiyo ID fanya ya kusomea ingine kurusha manyanga, ingine iliyo na ndugu jamaa na marafiki kama kawa.
 
Binamu huyu ndie kakukopi au umemkopi????
 
Attachments

  • 1431015109232.jpg
    1431015109232.jpg
    76.8 KB · Views: 402
uyo mke wa mtu si alifunga ndoa bomani sasa kinamuuma nn kuhusu post za mrs iyobo.
 
Haya jamani kwa Huddah kumekucha insta...kamshushia mapange Mange basi wadau wanajirusha na yote...mie kama kawa ni msoma koments 10 au 15 gazeti ni lina comments 750 hadi sasa....
Mange kammjibu tena huyo Huddah kamwandikia makala ndefu utadhani thesis ya PhD. Mange hatari aiseee
 
Hhhhhaaa siku hizi mange ananifurahisha balaaa yaan huyo mwanamke haogopi kitu aisee au kwq vile yupo mbali anajua watanifanya niniii yaam kile ni kichwaa na ana uwezo wa kuandika makala hayoo sie tujichekiee tu
 
Yaani ni anajiamini mnoo unaogopa ww unaesoma yeye hana habari. Halafu anauwezo mmkubwa wa uandishi aisee maana makala zake kibokoo.
 
Back
Top Bottom