Wema, Aunty "Kimenuka" kisa Zari

Mange kammjibu tena huyo Huddah kamwandikia makala ndefu utadhani thesis ya PhD. Mange hatari aiseee

Hahaaaa uwiii kuandika anajua aisee ile ni zaidi ya PhD aisee pamoja na kunogesha habari ni kipaji.Ana akili na uelewa mkubwa na haogopi kama week hii mambo ya Cyber bill kaelezea vizuri haya mabifu yake na ex shoga zake ndo zinazomharibia.
 
Kwa kweli ana kipaji cha uandishi...
 
kwan unty kaolewa na wema mpaka ampangie cha kufanya? atagombana na wasanii wangapi waliopost lile tangazo yy aangalie mambo yake...
 
Nimelipenda lile gazeti la mange

Huddah akirudia tena atakua chizi

Maana kamwanikaje sasa...

Mange kammjibu tena huyo Huddah kamwandikia makala ndefu utadhani thesis ya PhD. Mange hatari aiseee
 
Ukisema wa nini wengine wanawza watampata lini

Mtazamo wangu.

Ha ah ha ha ha ha ha..this is too much aisee, sasa anaacha ishu za maana anakomaa na ishu za marafiki sijui mashoga wame comment nn kwnye social networks? mbona imekaa ki childish sana hii.
She has to grow up aisee, awe matured bana
 
Habari za wema na aunty..Humu jf hazina tija sana Asante Napita zangu
 
Nampenda sn wema lakini jinsi alivyo hata mm siwezi kua na urafiki nae maana anataka umsujudie
 
Hayo mambonya huda ni kweli kuhusu sembe??

Ni kweli anafanya yuko na kile kikahaba kingine cha kibongo instagram kinajiita BARBADIAN QUEEN Ni kampuni moja na Jack cliff aliyefungwa china wenyewe wanajiita ma Boss Lady sijui ma boss chick kwa upunda, huyo barbadian queen ni punda maarufu wa brazil to south na bongo to europe vilevile anauza sana nyapu kwa mafootballer wa ki west kuna wakati alikuwa na kina toure yule mmoja wao anayeishi dubai ss hv ni changu wa essien si mashauzi hayo mara aweke funguo za gari lake, mara picha, mara chupi zake ujinga mtupu, essien akishachoka kunla kiboga atampasia mwenzake ndio circle inavyokwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…