Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange kammjibu tena huyo Huddah kamwandikia makala ndefu utadhani thesis ya PhD. Mange hatari aiseee
Kwa kweli ana kipaji cha uandishi...Hahaaaa uwiii kuandika anajua aisee ile ni zaidi ya PhD aisee pamoja na kunogesha habari ni kipaji.Ana akili na uelewa mkubwa na haogopi kama week hii mambo ya Cyber bill kaelezea vizuri haya mabifu yake na ex shoga zake ndo zinazomharibia.
Mange kammjibu tena huyo Huddah kamwandikia makala ndefu utadhani thesis ya PhD. Mange hatari aiseee
Ukisema wa nini wengine wanawza watampata lini
Mtazamo wangu.
Habari za wema na aunty..Humu jf hazina tija sana Asante Napita zangu
Nimelipenda lile gazeti la mange
Huddah akirudia tena atakua chizi
Maana kamwanikaje sasa...
Hayo mambonya huda ni kweli kuhusu sembe??
Hayo mambonya huda ni kweli kuhusu sembe??