Wema, diamond... Hakuna ndoa

ishakua ze utamu sasa... kwanini wasiunganishe thread tu za hawa majununi?
 
utumwa wa fikra mbaya sana kwahiyo bwa mdogo anazungushwa ka gurudumu.
 

e e.....hata Mr Blue..? hii sikujua....huyu dada nae sasa....
 
e e.....hata Mr Blue..? hii sikujua....huyu dada nae sasa....
mhh hawa wawili mwenyewe amekanusha mara zote si kweli...T.I.D na Blue,hata changudoa Ohio halali na kila mwanaume jamani.
 
mhh hawa wawili mwenyewe amekanusha mara zote si kweli...T.I.D na Blue,hata changudoa Ohio halali na kila mwanaume jamani.

kajitakia mwenyewe kudhalilika.....
 
Huyu Wema mi mwenyewe kuna siku nusu nimpitie sema nikaona nimpotezee tu. Nakumbuka ilikuwa Leaders J'mosi, basi nikaja kuangalia wasanii wanvyorukaruka kidali poo. Nikawa nimekaa meza ya pembeni kidogo huku napiga ze Ndovu zangu baridiii. Ghafla meza yangu ikavamiwa na Wema na Irene Uwoya eti wanaomba kinywaji. Mi bila hiyana nikawaambia waagize. Walivyoanza kulewa eti wakawa wanataka niwape lift mara oooh tununulie nyama mara oooh tunaomba vocha. Mi nikasema jamani isiwe tabu, nikawaacha wameduwaa wasielewe la kufanya. Mi huyooooo
 
na sasa sijui wanataka sisi tuwasaidieje au kuendelea kusikiliza drama zao
 
Hv sasa hawa wakioana 2 kesho yake utasikia mara diadond hajalala nyumban mara wameachana. Hawa wote ni wasanii 2.
 

Mmmh.,
 

Baada ya hapo .............................................
 
Binadamu wote tunakosea hakuna aliye sahihi na akili zetu pia hazilingani
Nadhani ni wakati sahihi kwa wema kukaa chini na kupanga upya maisha yake .
Anatakiwa sasa kuangalia maisha kazi,maendeleo ya familia na aachane na mapenzi zaidi
atulie na hata jamii imuone kuwa amebadilika na kurudisha heshima yake tena
Wema nakuombea kwa mungu akuongoze katika maisha yako.
Uwe wema mpya .
 
simshangai Wema bali Diamond na mwanaume yeyote anayeweza kudiriki kuoa Wema wa sasa....labda wa baadaye atakayekuwa amebadilika
 
tatizo woteee machangudoa nashangaa wanaogopana nini kuoana
 
inaelekea huyu mdada anapepo punda la mapenzi...huo nimwanzo tu katika ule mwisho wake..
 
wema wewe vipi hata ndoa bado unamkataa mama mkwe
wewe vipi tena
si ungekauka upata hata hiyo ndoa ipite, loo, una balaa lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…