Wema, kupungua mwili sasa basi. Utakuwa mifupa

Wema, kupungua mwili sasa basi. Utakuwa mifupa

Mkuu kama kakatwa utumbo huyu inamaana juhudi za kusaka katoto ndio basi tena zishamyeyuka?
Kakatwa huyu utumbo,kufanya diet halafu BANKWA una mzigo wa kutosha ni ngumu,hauwezi acha kula mazagazaga mayonaizi makachumbali madikodiko full masotojo wakati PAKEE inapumua BANKWA.

Hajapata mtu wa kumpatia huyu labda awe ameharibu kizazi kipindi cha ujana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bankwa ndo nini mkuu?
 
Kiukweli bora vile alivokua mnene basi alikua anavutia. Hivi sasa hata ukipishana nae njiani humtizami mara mbili.
 
Habarini...

Kiukweli murembo Wema alikuwa likibonge hadi akapoteza muonekano.

Mimi pia sikupendezwa na ubonge ule...ila sasa dada amepungua sana na kufikia kuwa mifupa a.k.a kimbaumbau...

Hapo awali tetesi zilisema kuwa murembo aliamua kwenda kukata utumbo ili apungue na kuwa mwembamba.

Kwa sasa muonekano wa Wema umekuwa mbaya kwani amedhoofu.

Ni hayo tuu...
Mkuu
Uzi bila picha ni kutoutendea haki
 
Back
Top Bottom