Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pwicha kaka jamani tuone 'picha'Habarini...
Kiukweli murembo Wema alikuwa likibonge hadi akapoteza muonekano.
Mimi pia sikupendezwa na ubonge ule...ila sasa dada amepungua sana na kufikia kuwa mifupa a.k.a kimbaumbau...
Hapo awali tetesi zilisema kuwa murembo aliamua kwenda kukata utumbo ili apungue na kuwa mwembamba.
Kwa sasa muonekano wa Wema umekuwa mbaya kwani amedhoofu.
Ni hayo tuu...
Kila kitu kina majira yake na kila jambo duniani linawakati wakeMhubiri 3:1
Amezeeka na lishe ni hafifu.Habarini...
Kiukweli murembo Wema alikuwa likibonge hadi akapoteza muonekano.
Mimi pia sikupendezwa na ubonge ule...ila sasa dada amepungua sana na kufikia kuwa mifupa a.k.a kimbaumbau...
Hapo awali tetesi zilisema kuwa murembo aliamua kwenda kukata utumbo ili apungue na kuwa mwembamba.
Kwa sasa muonekano wa Wema umekuwa mbaya kwani amedhoofu.
Ni hayo tuu...
MANGE alisema kipindi cha nyuma kabisa wakati WEMA bado Bonge kwamba KAKATWA utumbo ili apungue,watu hawakumuamini ila sasa ndio wanaamini sasa,MANGE akisema kitu msikichukulie POA.Habarini...
Kiukweli murembo Wema alikuwa likibonge hadi akapoteza muonekano.
Mimi pia sikupendezwa na ubonge ule...ila sasa dada amepungua sana na kufikia kuwa mifupa a.k.a kimbaumbau...
Hapo awali tetesi zilisema kuwa murembo aliamua kwenda kukata utumbo ili apungue na kuwa mwembamba.
Kwa sasa muonekano wa Wema umekuwa mbaya kwani amedhoofu.
Ni hayo tuu...
Kawa modeli.Daah ule msambwanda wote ume disappear! !!
Kachongoka sana hivi angekomaa na mazoezi na diet muhimu ya kupunguza mwili angekuwa bomba.
Mkuu kama kakatwa utumbo huyu inamaana juhudi za kusaka katoto ndio basi tena zishamyeyuka?MANGE alisema kipindi cha nyuma kabisa wakati WEMA bado Bonge kwamba KAKATWA utumbo ili apungue,watu hawakumuamini ila sasa ndio wanaamini sasa,MANGE akisema kitu msikichukulie POA.
Ni tatizo mkuuHii format (mlengwa : kichwa cha mada/ ujumbe) inatuchanganya wengine tunapokea kama nukuu ya mzungumzaji au tamko, japo quote marks hazipo.
Mbona kapendeza
Kwani mtoto anakaa kwenye utumbo?Mkuu kama kakatwa utumbo huyu inamaana juhudi za kusaka katoto ndio basi tena zishamyeyuka?