Wema, kupungua mwili sasa basi. Utakuwa mifupa

Habarini...

Kiukweli murembo Wema alikuwa likibonge hadi akapoteza muonekano.

Mimi pia sikupendezwa na ubonge ule...ila sasa dada amepungua sana na kufikia kuwa mifupa a.k.a kimbaumbau...

Hapo awali tetesi zilisema kuwa murembo aliamua kwenda kukata utumbo ili apungue na kuwa mwembamba.

Kwa sasa muonekano wa Wema umekuwa mbaya kwani amedhoofu.

Ni hayo tuu...
pwicha kaka jamani tuone 'picha'
 
Amezeeka na lishe ni hafifu.
 
MANGE alisema kipindi cha nyuma kabisa wakati WEMA bado Bonge kwamba KAKATWA utumbo ili apungue,watu hawakumuamini ila sasa ndio wanaamini sasa,MANGE akisema kitu msikichukulie POA.
 
Hii format (mlengwa : kichwa cha mada/ ujumbe) inatuchanganya wengine tunapokea kama nukuu ya mzungumzaji au tamko, japo quote marks hazipo.
Ni tatizo mkuu
 
Back
Top Bottom