Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Ukiwa hujawahi kuzaa yakupasa kuepuka cosmetic surgery nyingi ili kutoathiri mazingira ya mahali pa kukaa mtoto kwa sababu organs nyingi zina uhusiano.Kwani mtoto anakaa kwenye utumbo?
Mtoto anapozidi kukua tumboni anasogeza maviungo hayo.Utumbo wenyewe unapaswa kuji adjust...
Maulemavu tu anajitafutia ili aje kulialia mitandaoni.