Wema, kupungua mwili sasa basi. Utakuwa mifupa

Mkuu kama kakatwa utumbo huyu inamaana juhudi za kusaka katoto ndio basi tena zishamyeyuka?
Kakatwa huyu utumbo,kufanya diet halafu BANKWA una mzigo wa kutosha ni ngumu,hauwezi acha kula mazagazaga mayonaizi makachumbali madikodiko full masotojo wakati PAKEE inapumua BANKWA.

Hajapata mtu wa kumpatia huyu labda awe ameharibu kizazi kipindi cha ujana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bankwa ndo nini mkuu?
 
Kiukweli bora vile alivokua mnene basi alikua anavutia. Hivi sasa hata ukipishana nae njiani humtizami mara mbili.
 
Mkuu
Uzi bila picha ni kutoutendea haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…