Tetesi: Wema kuzindua ghorofa lake Valentine's Day

Ukiwa serious Bongo utakufaa mapema.

Wacha hivihivi watuone manyani, subiri Ile ya Mwijaku siku utakayogunduwa ni apartment za mtu wanamfanyia promo ndio utachoka kabisa.
Ha ha ha Chawa kwake Ni kitu kidogo Sana hicho.
 
3D haviko hivi, hii ni genuine picture, simaanishi ni ya Wema.

Wema ana mjengo wa million 400 Kijitonyama kitambo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu acheni kuchekesha hapa.
Wema hata pagale la chumba na sebulee hana, lol
 
Wakati wa JK haukuwepo mjini wewe, kulikuwa na kolo lake liko Ikulu ni ATM kabisa.
Wee tutolee uongo wako hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wema tunajua maisha yake, katafute wa kuwadanganyaa
 
Ukiwa serious Bongo utakufaa mapema.

Wacha hivihivi watuone manyani, subiri Ile ya Mwijaku siku utakayogunduwa ni apartment za mtu wanamfanyia promo ndio utachoka kabisa.
Sasa nani hajui kuwa ile ni nyumba ya boss anataka wapangaji apate maokotooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…