Tetesi: Wema kuzindua ghorofa lake Valentine's Day

Hii ni kweli au ni kick zake kama Ile 'mimba' ya Sultan?๐Ÿ™„
 
Hiyo nyumba pichani akili yangu imeirekodi kama nyumba ya Killy Janga a.k.a Mama Sunshire rafiki yake Mange.

Labda kama zinafanana, ila naona kama mtoa mada anafanya dhihaka.
Nawavulia kofia wabongo
kha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ