Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

sasa wema nimtu wakumtolea mfano kweli mbele ya watu wanaojielewa my foot ..any way Dada yngu ..baadae
ngoja niwajibike kidogo na majukumu yakulainisha vyuma
 
Hata mie nimekushangaa eti hamisa na tunda ni wa kutolea mfano watu wa kumkimbiza zari toka kwa dai

refer comment yngu
nimewa zungumzia kama watu wasiojitambua ..wajua kusalitiwa kuna uma ..but huwa kuna uma zaidi kama mpnzi wako anapoamua kukumix na watu ambao hawapo ktk class yko (low class)
yaani anaweza hata kukuletea gono..kwahilo tu ilitosha bi Dada wawatu kujiongeza ..ijapo kuwa umeshasema kuwa nimaisha yke aliyoyachagua..nisingepnda kumzu ngumzia zaidi kutokana na mujibu wa ile kauli yko
 
Poa ila jua zile sehemu za utamu hazina class ndo maana unaweza kuta baba mwenye nyumba anatoka na house girl mshamba mshamba mchafu mchafu.
 
Hapo ndo anapokosea Zari. Hatujui kinachomuweka ila anatakiwa kutoka akipewa gono ndo atajua mwanaume wake malaya kiasi gani.
hahaaa usikute alishapewaga mkuu..sema inabaki kuwa siri ya mtungi
 
Kiki tupu!
Diamond yupo tayari kufanya chochote jina lake lizungumzwe
Hiyo ni move ya kusudi kabisa imepangwa na kina Jorge Mendez,wema hawezi kukataa mualiko wa WCB,
Zari nae ni mfanya biashara wanagawana mauzo tu kwa ratio waliokubaliana,washabiki endeleeni kutokwa mishipa ya shingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…