Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

kama watu wanapata pesa basi ni shangwe. This is what we call public figure.
 


Huyo mond alishakiri kumwacha wema kwa hitaji ujasiri
 
Wema ana mimba ya Diamond, bi Tukinao ameshasema yeye kuzaa basi.
Hamisa na Wema haziivi kabisa sasa hivi.
My take wote wawe na afya njema lakini katika hii chain kama kuna mwenye HIV, mbona mjini patakuwa padogo.
Mjini patakuwa pakubwa Sky maana wao wakipata hiyo HIV si watakuwa wamepotea duniani.Ila jamani tukubaliane hali na akili za vijana mimi sihazielewa kabisaaa dunia yenye maradhi kama HIV wanajiachia hivyo jamani!mwaume unajua kabisa skirt haikazi mbele yake unamwamini?Hivi wakipata maradhi watasikitika kweli??Yaani unamwamini kila mtu kingono?
 
Eti yule chalii idris alisema kumuacha wema kulimghalimu alibadilisha wanawake zaidi ya 30 ndani ya miezi 2 ili asahau Wema .nyie mapenzi haya yaacheni tu kama hayaja kukuta usimnyooshe mwezio kidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…