Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Kiki tupu!
Diamond yupo tayari kufanya chochote jina lake lizungumzwe
Hiyo ni move ya kusudi kabisa imepangwa na kina Jorge Mendez,wema hawezi kukataa mualiko wa WCB,
Zari nae ni mfanya biashara wanagawana mauzo tu kwa ratio waliokubaliana,washabiki endeleeni kutokwa mishipa ya shingo
kama watu wanapata pesa basi ni shangwe. This is what we call public figure.
 
Naomba tukubaliane, kila mwanaume ni mlaji na gavana huwa ni nyie akinamama. Usione humu watu wanajibaraguza tu ukimletea K katika sahani siamini kuna mwanaume yeyote wa JF including me ataiacha au nadanganya Mzigua90 wangu! Hivyo sioni ajabu kwa Diamond wanawake wanaompelekea katika sahani aziache ati kwa vile Zari yupo Sauz. Usisahau wakati ule Dai alikuwa na usongo na maK ya wengi na hapa anajivinjari tu


Huyo mond alishakiri kumwacha wema kwa hitaji ujasiri
 
Wema ana mimba ya Diamond, bi Tukinao ameshasema yeye kuzaa basi.
Hamisa na Wema haziivi kabisa sasa hivi.
My take wote wawe na afya njema lakini katika hii chain kama kuna mwenye HIV, mbona mjini patakuwa padogo.
Mjini patakuwa pakubwa Sky maana wao wakipata hiyo HIV si watakuwa wamepotea duniani.Ila jamani tukubaliane hali na akili za vijana mimi sihazielewa kabisaaa dunia yenye maradhi kama HIV wanajiachia hivyo jamani!mwaume unajua kabisa skirt haikazi mbele yake unamwamini?Hivi wakipata maradhi watasikitika kweli??Yaani unamwamini kila mtu kingono?
 
5996a497f44dc597538c995a99522bc8.jpg
 
Eti yule chalii idris alisema kumuacha wema kulimghalimu alibadilisha wanawake zaidi ya 30 ndani ya miezi 2 ili asahau Wema .nyie mapenzi haya yaacheni tu kama hayaja kukuta usimnyooshe mwezio kidole.
 
Back
Top Bottom