Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sana.

Zarina ni muda sasa aamue kuondoka akaelee au aendelee kubanana na Wema na kwa hali ilipofikia Diamond hawezi kumuacha tena Wema hata awe aoe Wema ataendelea kuwepo.




Hicho choo cha stendi.....sidhani kama diamond hana akili kiasi hicho.labda anataka kumrudisha wema kwenye lights kidgo maanaa amepotea kabisa
 
Hicho choo cha stendi.....sidhani kama diamond hana akili kiasi hicho.labda anataka kumrudisha wema kwenye lights kidgo maanaa amepotea kabisa
Choo cha stand ila Diamond ndo anajisaidia humo humo nae.
 
Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...

Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.

Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.

Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
Shigongo at work! This is an organized and a well coordinated event done purposely to draw the attention of twits towards making media headlines for the benefit of a few cunning individuals.
 
Back
Top Bottom