Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Mko salama nimepata wasaa mzuri Sana wa kuandika kisa hiki nimekaa nacho miaka mingi
Mnisamehe sio mwandishi mzuri
Nimesoma shule flani ya kata huko kijijini kwetu nakumbuka tulikuwa na mkuu wa shule mkali kweli kweli alikuwa Hana utani hata kidogo linapokuja suala la nidhamu na mambo yahusuyo shule
Ni yule Mwalimu ukimuona anakuja unaacha unachofanya unatulia kumsikiliza alikuwa mahir sana pia wa Somo la kiingereza
Wakat tunasoma sheria zilikuwa Kali sana na watu walikuwa wanakatishwa masomo ikibainika Kuna utovu wa nidhamu
Tukiwa tumebakisha wiki 5 kufanya mitihani yetu ya kumaliza kidato Cha nne nakumbuka kulikuwa na mazoezi yanaendelea Kwa ajili ya sherehe ya mahafali ambayo ilipangwa kufanyika wiki mbili kabla ya mitihani
Masomo yalikuwa yanaendelea pia kama kawaida
Siku moja tukiwa darasani asubuhi nikaja kuitwa kuwa nahitajika na mkuu wa shule ofisini kwake
Kwanza darasa Lilikuwa kimya kilamtu anashangaa nn kimenipata nikaingie ofisi Ile ambayo inaogopwa nikaanza kutetemeka nikaanza kujiset Vaa vizuri nikachomekea nikafuta viatu na makaratasi
Darasa lipo kimya muda huo nasikika mm navosogeza meza nipite nikaitike wito 😂😂😂nikaanza kuelekea ofisini hapo mapigo ya moyo yakiwa yamebadilika uoga mwingi pia nilikuwa ni mtu sijui kujieleza mawazo yalikuwa nimefanya Kosa gani niitwe ghafla hivi
Inaendelea