Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
- Thread starter
- #41
Kama majira ya saa 9 wakawa wamerudi kutoka shamba tukawasilimia walishangaa hatukuwa shule tuakadanganya hakuna ishu ni siku ya Michezo tukatoroka mara moja
Sasa kivumbi naanzaje tukawa tumekaa nje kwenye mkeka na watu waliotoka shamba
Mara mama akainuka kuingia akasema anataka akaoge daddake akasema tuondoke nae turudi wote maana anaishi huku kwenye Kijiji tunachosoma nae ikiwa na baiskeli yake kilanikitaka kuinuka kumfata roho inasita nikapiga moyo konde
Akaingia ndani namchungulia kabl hajaingia chumbani nikamfuata
Mimi:mama samahani Nina shida kunakitu nataka tuongee akasimama
Mama hadija;sawa
Mimi;na dada nae
Mamahadija; Kuna nn jamni hay mama sule njoo(sule nampa dadayake alikuwa na watoto wawili)nikawaomba tukae
Kulikuwa na mkeka pale
Mimi;Kuna taarifa nataka kuwapa kuhus hadija lakini pia ni kutoka Kwa mkuu wa shule kuwa hadija ni mjamzito hivo
Kabla sijaendelea mama chozi likamtoka dada mtu akashika Tama
Dada yake hatukata maelezo akaita kwa sauti hadija akaitika akaja alikula kibao kimoja kitakatifu kutoka Kwa dadayake huku analalamika
Mamasule;humuonei huruma mama wew na uzee huu aibu gani hii ona tunahangaika tunatoka shamba mda huu tukusaidie unashida gani ww nimewahi kukunyima chakula?hadija,ulowahi kuomba sabuni ya kufulia nikakunyima,"hadija yupo kimya amekaa analia japo sio Kwa sauti sana
Huku mama anatetemeka Kwa hasira na uchungu Mimi nimepigwa na butwaa machozi yanatoka namuonea huruma hadija nawaonea huruma wazazi wake