Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
- Thread starter
- #21
Ikabidi nikaze roho ili mambo yaende Mazungumzo na hadija s
Mimi:niambie ukweli rafikiyangu Kuna kitu nimesikia kuwa wewe mjamzito ni kweli ila usinifiche
Hadija;akawa mpole ghafla akauliza umemsikia nani?
Mimi:nikamwambia Haina haja wewe niambie tu sisi tuko pamoja tangu kidato Kwa kwanza usinifiche
Ukweli nilikuwa naaminik haikuwa tabu kumshawishi
Akasema anaujauzito wa miez 3 lakini dadayake Wala mamayake hajui na alishajaribu kutoa mara kadhaa imeshindikan a
Kuhus kijana alompa mimba ni kijana tupo nae mtaa mmoja na baada kumwambia ni mjamzito jamaa katorokea Dar hivo hayupo na hapatikani kwenye simu
Niliishiwa pozi sikuwa na akli Zaidi ila nikajikaza nilikuwa na najiuliza itakuwaje shule itakuwa vipi mwanaume kakimbia msala wazazi wake watapokeaje n mama ake alikuwa yupo kwenye kamati ya shule ni aibu itampata hii dakika za.majeruhi