Wema na huruma iliyofanywa na mkuu wa shule nilosoma

Basi sherehe zikaanza bahat nzuri mgeni rasmi lichelewa nimesema bahat nzuri sabbu hatukuwa na Raha kabisa hivo sherehe ikaenda haraka sababu ilichelewa kuanza

mm na Hadija hatukukaa pamoja sabbu ya majina yenu yalikuwa tofaut tulipangwa Kwa alafabet mkuu muda wote anatukazia macho Kwa zamu nafikiri alikuwa na hofu watu wasije wakachomoa betri kwenue sherehe maana Kuna watu Dunia hii wanapenda kufurahia matatizo ya wenzio
Mama hadija alikuwa high Table Kwa sabbu ni mjumbe wa kamati ya shule

Alhamdulillah mambo yaliemda kama yalivopngwa hatimaye sherehe ikaisha kipind hiko mamaangu alikuwa amesafir so walikuja wajomba na auntzangu nduguzake Hadija walinipiga kampani sana tukafurahi japo kiasi yakaisha wiki 2 za kujiandaa na mitihani zikawa zimebaki hapa ndipo Ilikuwa kivumbi na jasho

Kunamwalimu alikuwa hampemd hadija sijui kulikuwa na shida gai katiyao 😀 alikuwa ni Mwalimu wa ovyo ana kauli mbaya hapedwi na wanafunzi Wala haelewani na walimu wenzake na tushawahi mshuhudia anambishia mkuu live

Jumatatu ikawadia shule ikaendelea ni kukaza msuli wa mitihani yule ticha alikuwa anatufudisha kiswahili akawa akiingia darasani anamkazia macho hadija ni kama vile habari zimemfikia alafu anataka amwage ugali
Asubhi tukamaliza vipindi salama mda wa masomo ya jion ukafika huwaga situliag darasani Yani kuzurula nipo huku mara kule 😀😀😀natoka nje kwenye kordo akaniita njoo

Mwalimu L;rafikiyako anashida gani
Mimi;nani nikamtaja rafikiyangu yule kipenz kabisa
Mwalimu L;sio ni hadija
Mimi;kwanini
Mwalimu L;kama hayko sawa hiv kama anaumwa
Mimi;namuona kawaida tu hata haumwi akacheka
Akasema sawa nenda darasani akaanza kumfata fata hadija na kumhoji akawa anakana na kumkwepa
Hofu ikaanza Yani tukisikia kengele tunawaza muda wowote mtu anapewa barua hadija alikiwa Hana Raha
Mimi Sina amani kabisa Yani Kila mtu akiniagalia usoni naona kama anataka kuniuliza

Sikumoja niliitwa na wanafunz wenzangu nyuma ya choo walikuwa kama 8 akiwepo na shost et kuniuliza kwann mkuu annaiita ita au ananitaka nilistaajabu sana kikao kile nikawaambia sijui kma ananitaka nikaondoka nikawaacha wanajaadiliana

Finnaly tulimaliza salama japo Kwa minde na stress za hali ya juu

Siku tuliyofanya Ile mitihani hatukuamini kama shule iliisha binafs nilikuwa nateswa na Ile haliyake viatu vyake vilikiwa sio vidogo

baada ya shule
hadija akatunzwa na wazazi wake Hadi alipojifungua bahati mbaya mtoto akafariki
Yule baba namkumbuka sana alipambana sana kumkingia kifua hadija Hadi mwisho wa mitihani ila Sasa ameshafariki
Mungu ampumzishe mahali pema peponi 🙏
 
images.jpeg
 
Kijijin hakunaga siri,sjui huwa ni kwanini
Ilishawahi kunitokea hiyo Kijijini aisee.
Ninetoka zangu Dar nikaenda Kijijini basi bhana kulikuwa kuna Pisi kali ya maana na kuna jamaa alikuwa anaigharamia Mimi nilivyoingia pale Kijijini Pisi ikawa inapita sana home nikaizingua mpaka nikaiambia nataka niende na weww Dar, Pisi ikaniamini ikamkataa mpaka jamaa aliyekuwa anaigharamia. Kuna siku mida ya saa 12 nikaenda nyumbani kwa ile Pisi tena niliingizwa kwenye mtego na jamaa yangubwa karibu. Manyanza unaitwa na Nyanzala yupo kwao na hakuna mtu na Kaka yake kaenda kwenye gulio kijiji cha tatu leo harudi na Mama yake Nyazala alikuwa kaenda makao makuu ya mkoa wa wilaya ya Kijiji chetu. Kufika pale nimenunua betri za kuweka kwenye redio na kaseti zangu za westlife tukawa tunasikiliza huku tunakunywa soda na biskuti. Nilikaa mpaka mida ya saa 1 usiku. Wakati qa kurudi home sikutaka kupita main road nikapita njia za vivhochoroni aisee kona ya kwanza tu nikavamiwa na Kaka yake Nyazala na vijana wengine watatu, nikapigwa fimbo mbichi ya begani 🤣🤣🤣
Nikaanguka nikajifanya nimezimia, Nyanzala akaanza kugombana na wale vijana na Kaka yake akawa anamtukana huku anamchapa makofi. Wakati huo kuna giza na mbalamwezi tu halafu ilikuwa ni December kipindi mahindi ndio yanaanza kuzaa. Bhanaa wewee baada ya kuona wanagomban niliinuka pale na sandals nimezishika mkononi nduki ya 10000km/hour 🏃‍♂️💨💨💨💨 mpaka home ndani hata sikula ile usiku mpaka Bibi akauliza nani huyo? Nikamwambia Mimi b😃😃😃 kesho yake saa 2 asubuhi habari zilishatapakaa kijiji chote 🤣🤣🤣 Marehemu Babu akanifuata mpaka chumbani niliko lala wacha aniseme. Kijijini taarifa zinaenea haraka kama moto wa petrol 😆🙌
 
Basi sherehe zikaanza bahat nzuri mgeni rasmi lichelewa nimesema bahat nzuri sabbu hatukuwa na Raha kabisa hivo sherehe ikaenda haraka sababu ilichelewa kuanza

mm na Hadija hatukukaa pamoja sabbu ya majina yenu yalikuwa tofaut tulipangwa Kwa alafabet mkuu muda wote anatukazia macho Kwa zamu nafikiri alikuwa na hofu watu wasije wakachomoa betri kwenue sherehe maana Kuna watu Dunia hii wanapenda kufurahia matatizo ya wenzio
Mama hadija alikuwa high Table Kwa sabbu ni mjumbe wa kamati ya shule

Alhamdulillah mambo yaliemda kama yalivopngwa hatimaye sherehe ikaisha kipind hiko mamaangu alikuwa amesafir so walikuja wajomba na auntzangu nduguzake Hadija walinipiga kampani sana tukafurahi japo kiasi yakaisha wiki 2 za kujiandaa na mitihani zikawa zimebaki hapa ndipo Ilikuwa kivumbi na jasho

Kunamwalimu alikuwa hampemd hadija sijui kulikuwa na shida gai katiyao 😀 alikuwa ni Mwalimu wa ovyo ana kauli mbaya hapedwi na wanafunzi Wala haelewani na walimu wenzake na tushawahi mshuhudia anambishia mkuu live

Jumatatu ikawadia shule ikaendelea ni kukaza msuli wa mitihani yule ticha alikuwa anatufudisha kiswahili akawa akiingia darasani anamkazia macho hadija ni kama vile habari zimemfikia alafu anataka amwage ugali
Asubhi tukamaliza vipindi salama mda wa masomo ya jion ukafika huwaga situliag darasani Yani kuzurula nipo huku mara kule 😀😀😀natoka nje kwenye kordo akaniita njoo

Mwalimu L;rafikiyako anashida gani
Mimi;nani nikamtaja rafikiyangu yule kipenz kabisa
Mwalimu L;sio ni hadija
Mimi;kwanini
Mwalimu L;kama hayko sawa hiv kama anaumwa
Mimi;namuona kawaida tu hata haumwi akacheka
Akasema sawa nenda darasani akaanza kumfata fata hadija na kumhoji akawa anakana na kumkwepa
Hofu ikaanza Yani tukisikia kengele tunawaza muda wowote mtu anapewa barua hadija alikiwa Hana Raha
Mimi Sina amani kabisa Yani Kila mtu akiniagalia usoni naona kama anataka kuniuliza

Sikumoja niliitwa na wanafunz wenzangu nyuma ya choo walikuwa kama 8 akiwepo na shost et kuniuliza kwann mkuu annaiita ita au ananitaka nilistaajabu sana kikao kile nikawaambia sijui kma ananitaka nikaondoka nikawaacha wanajaadiliana

Finnaly tulimaliza salama japo Kwa minde na stress za hali ya juu

Siku tuliyofanya Ile mitihani hatukuamini kama shule iliisha binafs nilikuwa nateswa na Ile haliyake viatu vyake vilikiwa sio vidogo

baada ya shule
hadija akatunzwa na wazazi wake Hadi alipojifungua bahati mbaya mtoto akafariki
Yule baba namkumbuka sana alipambana sana kumkingia kifua hadija Hadi mwisho wa mitihani ila Sasa ameshafariki
Mungu ampumzishe mahali pema peponi 🙏
Hadija Yuko wapi Kwa Sasa?
 
Kadija,hakufaulu??
 
Duh,ndio imeisha ivyo au?
 
Asante sana kwa ku share nasi hii stori pole nyibujy kwa hadija kwa kufiwa na mtoto,ajaliwe kupumzika kwa amani mwalimu.
 
Back
Top Bottom