Wema na huruma iliyofanywa na mkuu wa shule nilosoma

Nilkuwa nafanya mapenz kwa siri sana lakin baada ya muda watu wanajua
 
Hadija alifanikiwa kuendelea na shule?
 
Ng'wagoko bhageshi

Wanyatunzu ujuaji wetu upo wapi mkuu?πŸ˜€

Sisi huwa tunapenda kusimamia/kusimama kwenye ukweliπŸ˜€
Eee Minza 🀝
Mimi naenda Kijijini naongea Kisukuma wanaanza kunimaindi naongeaje Kisukuma kwani wao Kiswahili hawawezi??? Mizinguo sana Ntuzu Native 🀣🀣🀣
 
Ita
Eee Minza 🀝
Mimi naenda Kijijini naongea Kisukuma wanaanza kunimaindi naongeaje Kisukuma kwani wao Kiswahili hawawezi??? Mizinguo sana Ntuzu Native 🀣🀣🀣
Itakuwa huwa unaongea kisukuma cha kuchanganya na kiswahili(OLOMJINI NKOIπŸ˜€) wanaona bora uongee kiswahili tu

KARIBU SANA BARIADI-SIMIYU(NTUZU)
 
Ita

Itakuwa huwa unaongea kisukuma cha kuchanganya na kiswahili(OLOMJINI NKOIπŸ˜€) wanaona bora uongee kiswahili tu

KARIBU SANA BARIADI-SIMIYU(NTUZU)
Nakijua kinyantuzu vyedi kabisa
Ila Wanyantuzu ni Much know sana Bagheshi.
Utasikia Bebe nang'ho lekaga u bholele ugeyatyigwa bhomanija ghoke nani oyho adamanile egeswahili olhe ng'hunga sana nyanda ong'wana Nkulukulu (Ng'wizukulu) 🀣🀣🀣
Nipo vizuri Bagheshi
 
Lakini kwann mkuu wa shule akushirikishe wewe suala la Hadija?
Nafikiri alikuwa anajua ni rahis kumfikia hadija na kujua ukweli tofaut na yeye angemuuliza suala la Hilo huenda angeshtuka pengine ingemletea shida zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…