Wema na huruma iliyofanywa na mkuu wa shule nilosoma

Wema na huruma iliyofanywa na mkuu wa shule nilosoma

Hiko mnachowaza hakipo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ila watu
sawa tusaidie tu kwanini mkuu wa shule alikuchagua wewe, wakat Khadija alikuwa na marafiki wengi kama ulivyosema mlikuwa 8 kwenye kundi lenu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Musa hakurudi tena, ni tabia ya kina Musa kukimbia kimbia wakifanya misala hata Musa wa Bibilia ilikuwa hivyo hivyo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hakurudi had Leo yupo mjini alafu nilivokutana na mdogowake ndio nikakumbuka kuleta hiki kisa
 
sawa tusaidie tu kwanini mkuu wa shule alikuchagua wewe, wakat Khadija alikuwa na marafiki wengi kama ulivyosema mlikuwa 8 kwenye kundi lenu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkiwa group kwenye discussion sio kama ni marafiki sana Ila tulikuwa tunakuwa wale ambao tunaishi karibu so tunakuwa karibu muda mwingi na tunaishi mtaa mmoja kwani tulikuwa tunasoma usiku so Ilikuwa tunachagua nyumba za kufanyia discussion ni saa 2 had nne usiku
So siku wanakuja home
Siku nyingine nni Kwa kina hadija siku nyingine ni Kwingine tulikuwa mchanganyiko na wavulana

Rafikiyangu wa karibu alikuwa mmoja yani yule wa changu chake
Sababu ya kuniambia siijui nilishaellezea yeye ndo anajua ila alichoanmbia ni ananimini sitoyamwaga alafu sikuwa muongeaji wakat nipo shule kabisa Yani mnaweza piga story had mmalizie sijatia neno
 
Alafu hadija alikuwa na rafikyake kipenz kabisa namfahamu ila alikuwa hakai jirani na sisi pia wanaonana mda wa shule tu ila Mimi muda wowote ukienda dukani utapita kwao yeye akienda kuchota maji atapita kwetu
Daudi1
 
Mwalimu wako Ali aply Ethics kwenye Hilo tatizo!!

Alitumia mbinu hii "Listen to your gut"pale ambapo nafsi ipo kwenye mtanziko hujui Nini ufanye ndipo unashauriwa fanya kile nafsi inakuambia coz sauti ya nafsi ndio ya Mungu!

Wengi sana tunapitia hii changamoto!!
 
Alitumia sifa/kigezo kipi kukuchagua wewe uwe msiri wa mimba/ujauzito wa khadija?๐Ÿ˜€
Sijui nitasema hiv Hadi mwisho ila nilikuwa group discussion moja na hadija ninamfahamu tunaishi mtaa mmoja huenda alikuwa anajua ninafahamu pia
Yeye ndo anajua na hat mm nilikuwa namuogopa

Nakumbuka nilikuwa sio mtu wa kufanya test mara nyingi na nilikuwa naenda shule lakini sikai sana tukafanya mock nikafaulu vizuri kuliko wale vimbelembele wa darasa aliniita na haikuwa ofisini mbele ya wengine akaniuliza kwanini sipo serious na uwezo ninao huwez Nikuta sipo kwenye Kosa la kuchelewa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
ndio mara ya kwanza nafahamu kumbe ananijua vizuri kuwa mchelewaji mkuu mara ya pili ni hii
Nilichokuwa najua ni mkali sana Hana utani kabisa
 
Back
Top Bottom