Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kumbe Mussa alifaidi sana,maana wanawake hupendeza sana na huwa wanavutia sana wakati huo wa kubarehe(13-18yrs)Alikuwa mzuri kashape kazuri msafi alikuwa msichana mzuri Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Mussa alifaidi sana,maana wanawake hupendeza sana na huwa wanavutia sana wakati huo wa kubarehe(13-18yrs)Alikuwa mzuri kashape kazuri msafi alikuwa msichana mzuri Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Musa hakurudi tena, ni tabia ya kina Musa kukimbia kimbia wakifanya misala hata Musa wa Bibilia ilikuwa hivyo hivyo
Hunaga mbambaa 🤣🤣🤣Na tangawiziii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haikukuletea hasara yoyote ile hiyo baiskel kuendesha kwa muda mrefu? 😀😀Sana primary nimesoma mbali na home nilikuwa naenda nampakia mdogowangu ila haikua phoenix baiskeli flan wenyew walikuwa wanaita baiskeli za gia🤣🤣🤣
cocastic bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo Mimba ningechoropoaa hata kablaa aliyenipa hajajua. Lol
🤣🤣🤣🤣Hiyo Kali mm km kitu Cha hasira simwambii mama Hana kaba amenyookaHongera kwa kutunza siri, Mimi mtu akiniambia kitu halafu aseme nisimuambie mtu, huwa namuambia mama yaani hapo nahesabu Kama sijamuambia mtu😄😄😄na yeye namuambia asimwambie mtu, anamwambia mdogo wangu wa kike, hapo anaona hajamwambia mtu😄😄.
Nimekwambia kitu kimoyomoyo🤣Sana primary nimesoma mbali na home nilikuwa naenda nampakia mdogowangu ila haikua phoenix baiskeli flan wenyew walikuwa wanaita baiskeli za gia🤣🤣🤣
Mwaka mzima wa darasa la saba unaendesha baiskel tena kwa kumpakiza/,kumubeba mdogo wako😀🤣🤣Hapana nilikuwa darasa la Saba sikuchelewa nikamaliza
Haikuwa mwaka mzima na Ilikuwa mchana tu tunaenda Kwa mguu na kurudi Kwa mguu ila mda wa lunch narudi nayo Ili tuwah mama alikuwa ana duka karibu na shule kwetu so anakuja nayo asubhi na kurudi nayo jio
Aaliyyah NAKUPENDA sana(ni siri itunze sana ina kitu tutafika mbali)Haikuwa mwaka mzima na Ilikuwa mchana tu tunaenda Kwa mguu na kurudi Kwa mguu ila mda wa lunch narudi nayo Ili tuwah mama alikuwa ana duka karibu na shule kwetu so anakuja nayo asubhi na kurudi nayo jion
Usiitunzie kifuani bhana 😀Sina kifua nitasema tu 😂😂