MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
When teachers were teachers sio leo walimu wanatwisha mimba wenyewe washachoka mimba za watu wa mtaani .Basi sherehe zikaanza bahat nzuri mgeni rasmi lichelewa nimesema bahat nzuri sabbu hatukuwa na Raha kabisa hivo sherehe ikaenda haraka sababu ilichelewa kuanza
mm na Hadija hatukukaa pamoja sabbu ya majina yenu yalikuwa tofaut tulipangwa Kwa alafabet mkuu muda wote anatukazia macho Kwa zamu nafikiri alikuwa na hofu watu wasije wakachomoa betri kwenue sherehe maana Kuna watu Dunia hii wanapenda kufurahia matatizo ya wenzio
Mama hadija alikuwa high Table Kwa sabbu ni mjumbe wa kamati ya shule
Alhamdulillah mambo yaliemda kama yalivopngwa hatimaye sherehe ikaisha kipind hiko mamaangu alikuwa amesafir so walikuja wajomba na auntzangu nduguzake Hadija walinipiga kampani sana tukafurahi japo kiasi yakaisha wiki 2 za kujiandaa na mitihani zikawa zimebaki hapa ndipo Ilikuwa kivumbi na jasho
Kunamwalimu alikuwa hampemd hadija sijui kulikuwa na shida gai katiyao 😀 alikuwa ni Mwalimu wa ovyo ana kauli mbaya hapedwi na wanafunzi Wala haelewani na walimu wenzake na tushawahi mshuhudia anambishia mkuu live
Jumatatu ikawadia shule ikaendelea ni kukaza msuli wa mitihani yule ticha alikuwa anatufudisha kiswahili akawa akiingia darasani anamkazia macho hadija ni kama vile habari zimemfikia alafu anataka amwage ugali
Asubhi tukamaliza vipindi salama mda wa masomo ya jion ukafika huwaga situliag darasani Yani kuzurula nipo huku mara kule 😀😀😀natoka nje kwenye kordo akaniita njoo
Mwalimu L;rafikiyako anashida gani
Mimi;nani nikamtaja rafikiyangu yule kipenz kabisa
Mwalimu L;sio ni hadija
Mimi;kwanini
Mwalimu L;kama hayko sawa hiv kama anaumwa
Mimi;namuona kawaida tu hata haumwi akacheka
Akasema sawa nenda darasani akaanza kumfata fata hadija na kumhoji akawa anakana na kumkwepa
Hofu ikaanza Yani tukisikia kengele tunawaza muda wowote mtu anapewa barua hadija alikiwa Hana Raha
Mimi Sina amani kabisa Yani Kila mtu akiniagalia usoni naona kama anataka kuniuliza
Sikumoja niliitwa na wanafunz wenzangu nyuma ya choo walikuwa kama 8 akiwepo na shost et kuniuliza kwann mkuu annaiita ita au ananitaka nilistaajabu sana kikao kile nikawaambia sijui kma ananitaka nikaondoka nikawaacha wanajaadiliana
Finnaly tulimaliza salama japo Kwa minde na stress za hali ya juu
Siku tuliyofanya Ile mitihani hatukuamini kama shule iliisha binafs nilikuwa nateswa na Ile haliyake viatu vyake vilikiwa sio vidogo
baada ya shule
hadija akatunzwa na wazazi wake Hadi alipojifungua bahati mbaya mtoto akafariki
Yule baba namkumbuka sana alipambana sana kumkingia kifua hadija Hadi mwisho wa mitihani ila Sasa ameshafariki
Mungu ampumzishe mahali pema peponi 🙏
Keep resting Headmaster