Wema na Idris waachana

Wema na Idris waachana

Status
Not open for further replies.
Dunia haiishi watu wenye huruma zao, soon wema anasajili "new entry"
 
Mapenzi haya ya mitandaoni ni shida tu,maneno ya mahaba yote yale waliyoandikiana? Ni bure kabisa.ka lulu kajanja,yeye huwa kanakula kimya kimya.humuoni mpenzi wake kwenye mtandao hata siku moja
 
Ila ingekuwa magazeti ya udaku yanamlipa wema nadhani sasa hivi angekuwa billionea
 
Shiling 550 million zimeisha...!
Sijui hata kama wamelipa lile Deni la Tanesco
 
Mapenzi haya ya mitandaoni ni shida tu,maneno ya mahaba yote yale waliyoandikiana? Ni bure kabisa.ka lulu kajanja,yeye huwa kanakula kimya kimya.humuoni mpenzi wake kwenye mtandao hata siku moja

Ila utamsikia tuu aliyekuwa mpenzi wa Lulu amekufa 😉😉😀😀
 
Hatukuhusika wala kuhusishwa wakati anaweka picha za Idrisa, basi now haituhusu.
 
Yule bidada angekuwa na mshauri mzuri angeweza kuwa brand inayotengeneza sana hela,..babu tale na fela hebu msaidieni huyu Dada,I'm sure magazet ya udaku yananufaika sana while yeye njaa tupu.

Kashachelewa sana!
 
mimi nasubiri kuona atakayepokea kijiti atakuwa ni nani???
may be ninaweza kuwa ni mimi maana anavyojiweka karibu na mimi kipindi hiki..😀😀
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom