Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Samatta ashapata demu Wa kibeligiji mkuu....Hivi Samatta anarudi lini Bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samatta ashapata demu Wa kibeligiji mkuu....Hivi Samatta anarudi lini Bongo
We mbeambea kweli jamaa... [HASHTAG]#KAMA[/HASHTAG] HAIKUHUSU CHUNA.Hii nayo ni habari?
Haha hivi walizika hospital ama vepeeee.. Fake mimba fake msibaPoleni kwa msiba.
In Remy ongala voiceWema ukitenda sana.....pita zako, usilale nyumaaa!!!!!....Usikubali zawadi, ...wemaaaa!!!!! Wema kum*ny*koooo!!!!
We babu vp acha uchawiWe mbeambea kweli jamaa... [HASHTAG]#KAMA[/HASHTAG] HAIKUHUSU CHUNA.
Hahaha acha hizo vibaya kumsema mwenzio hivoWema anamatumizi mabaya ya uchi
Miguu akimaanisha bolo.. wee wa wapi!!! unataka aweke tupu za mtu humu...
wengi wao wanafunzi wa secondary na chuo...!! wanaishi maisha ya maigizo kama boss waoo...Mm wananishangaza wale wadada wanaojifanya team yake eti ndio role model wao
duuuuh kumbe ndo alikuwa na maana iyo mm mwenyewe nilifikir mguu as a foot au ngwara,,kumbe mshedede!!!!eti umejikunja kiana ,,mbona kawaidaMiguu akimaanisha bolo.. wee wa wapi!!! unataka aweke tupu za mtu humu...
Alishampata mkongo sahivi uliza who is next baada ya mkongo[emoji23] [emoji23]Can anyone predict who is next after idris?
Idris is dumped now......550million washed !
Lool àt you poor idris
Haijafika hata theluthi ya isidingoDaah..Movie ya Wema na Idris imekuwa fupi sana aise..Inabidi waturudishie chenji zetu
Ka lulu ni kajasiriamali ka ukweli hadi mpenzi wake afe ndo utaona picha kwenye mitandao.Mapenzi haya ya mitandaoni ni shida tu,maneno ya mahaba yote yale waliyoandikiana? Ni bure kabisa.ka lulu kajanja,yeye huwa kanakula kimya kimya.humuoni mpenzi wake kwenye mtandao hata siku moja
Kiba sio punguwani kama domoHaya Alikiba zamu yako sasa ukamgharamie madame ,