Wema na Idris waachana

Wema na Idris waachana

Status
Not open for further replies.
You can delete every single pic but you you will never be able to delete all memories and things you did together
 
Mm wananishangaza wale wadada wanaojifanya team yake eti ndio role model wao
wengi wao wanafunzi wa secondary na chuo...!! wanaishi maisha ya maigizo kama boss waoo...
 
Miguu akimaanisha bolo.. wee wa wapi!!! unataka aweke tupu za mtu humu...
duuuuh kumbe ndo alikuwa na maana iyo mm mwenyewe nilifikir mguu as a foot au ngwara,,kumbe mshedede!!!!eti umejikunja kiana ,,mbona kawaida
 
Mapenzi haya ya mitandaoni ni shida tu,maneno ya mahaba yote yale waliyoandikiana? Ni bure kabisa.ka lulu kajanja,yeye huwa kanakula kimya kimya.humuoni mpenzi wake kwenye mtandao hata siku moja
Ka lulu ni kajasiriamali ka ukweli hadi mpenzi wake afe ndo utaona picha kwenye mitandao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom