Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa

Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa

Milioni ina zero ngapi? Si ni 50000000? Yesu bora husirudi tu maana watu hatutautambua uwepo wako 7bu ya pesa
 
Mwanadada Wema akiongea na kipindi kimoja cha redio leo mchana alipoulizwa yapi maoni yake kuhusu wimbo mpya wa Salome alisema wimbo ni mzuri sana na alitakiwa kufanya video lkn ilibidi walipe mil 75 kama gharama za yeye kutokea kwenye video lkn WCB walitaka kutoa mil 50 ndipo aliposhauriana na uongozi wake na kuamua kukataa.

"Ni kweli ningetokea kwenye video hiyo lakini walitoa pesa madafu,kaka mtangazaji siwezi kuuza sura kwa mil 50,ebu fikiria nimetumia karibia bilioni kutengeneza jina langu,nina biashara za mamilioni,leo Nassib anataka kunipa mil 50,that is not fair kwa kweli"

Mdau yapi maoni yako kuhusu gharama za huyu mlimbwende?
Kaliwe sasa uzipate, i respect ur mom very much, najiuliza kama utafika umri huo utakua na swaga gani!!!?,sipati picha... Najiuliza tuu lakini
 
dah kumbe hii biashara ina hela hvyo yaan video queen anakula pension ya mwalim kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nichekee mie ni lin huyu mwanamke atakuwa kiakir maana akakuza makalio tuu,kwa kumuangalia tuu je anaweza kukataa milion 50 aliyotangaziwa na kama ana hela kweli kwann anacheza visingeli jukwaani,huyu bint hawez kuwa na akir hata siku moja ameishia ujinga tuuh kwanza ana biashara mjini huyu range ipo wapi nyambafu zake na kiki zake za kifala
 
Mwanadada Wema akiongea na kipindi kimoja cha redio leo mchana alipoulizwa yapi maoni yake kuhusu wimbo mpya wa Salome alisema wimbo ni mzuri sana na alitakiwa kufanya video lkn ilibidi walipe mil 75 kama gharama za yeye kutokea kwenye video lkn WCB walitaka kutoa mil 50 ndipo aliposhauriana na uongozi wake na kuamua kukataa.

"Ni kweli ningetokea kwenye video hiyo lakini walitoa pesa madafu,kaka mtangazaji siwezi kuuza sura kwa mil 50,ebu fikiria nimetumia karibia bilioni kutengeneza jina langu,nina biashara za mamilioni,leo Nassib anataka kunipa mil 50,that is not fair kwa kweli"

Mdau yapi maoni yako kuhusu gharama za huyu mlimbwende?
Wema is not worthy even USD 1000 for a role in the video.
 
ko alpokataa aliongezeka nn?si angekula 2 kwetu wanaxmaga "emo nekila obusha"
 
hamisa mobeto kwa jinsi alivyofurahi mule kwenye video... nahisi amefanya bureeee kwa kujitolea kabisa...

amefurahi sana anacheza kwa raha tele...

kama amelipwa amepata ndege wawili.. hela ya video na bado furaha yake ya moyoni
Hahahah
 
uwongo wema hajasema
...huu uwongo acheni...
video queen hata million hawalipwi...
wanaolipwa atleast vizuri wenye majina..
hawa wengine laki 2 laki3
wengine kina gigy mpaka 20000/=
wengine bure kabisa
 
hamisa mobeto kwa jinsi alivyofurahi mule kwenye video... nahisi amefanya bureeee kwa kujitolea kabisa...

amefurahi sana anacheza kwa raha tele...

kama amelipwa amepata ndege wawili.. hela ya video na bado furaha yake ya moyoni
kalipwa!
hamisa ni model lazima alipwe!!!
nani kwakwambia hajalipwa?
katekeleza kazi yake ipasavyo..

na video vixen ilibidi atoke Tz kwa ajili ya kujua maana ya muziki... ili aucheze kwa ufasaha..
kazi imefanyika wenye wivu wajinyonge sasa!!!
em muacheni dada wa watu aishi maisha yake jamani...!!
kwani nani aliwathibitishia kua ni mwanammke wa chibu...
 
Back
Top Bottom