Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa


Hivi kweli unaweza kukaa chini na kutunga uongo, unafaidika nini wewe agent wa wema. It's about time watu muanze kupigwa fine.
 
Mmh kweli anaweza kuwa na value tshs 1blion? Kweli duniani vitimbi aviishi
 
Wema mwenyewe akisoma hii hadithi lazma atoe chozi na kutamani ingetokea kweli
 
Mbona ametokea kwenye video ya Raymond natafuta kiki halafu bure
Nmeona uzi humu anajiandaa kufungua kesi ya madai 10mil kuwekwa kwny vdeo bila idhin yke.
Sa 70mil then 50mil is nthng to her but 10mil worth more.
 
Kama ingekuwa kweli, na video ingekuwa mbovu mno
 
huyu huyu aliyeshindwa kulipa ankara za maji na umeme??
 
Hela ndogo Sana hizo, bora alivyokataa. Hata hizo millioni 75 alizosema ni kwa vile aliwapa discount tu.
 
Itakuwa ni 5ml mkuu hiyo 50 ni kujikweza aonekani yupo
 
Ina maana sura yake ina thamani kuliko uchi wake? Mbona uchi anauza bei karibu na bure?
 
niliona kwenye blog moja ya Kenya kwamba atamshtaki Diamond kwa kutumia clip yake akiwa na rayvanny kwenye birthday ya rommy kwenye video ya Salome , kwenye hiyo blog wanasema Martin ndo alimshauri akatae offa hiyo maana haiendani na hadhi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…