HahahaMsiangalie upande mmoja je kama mke wako anakuacha sababu una pesa anafanya umalaya Ana kuzarau na kukutenganisha na watoto wako
Wema alifiwa na baba yake anaujua uchungu wa kufuwa na baba. All in all wanaume wenyw tabia km za baba Diamond kutelejeza watoto waache. Wema tenda wena uende zako usingije shukurani.Kwa kawaida kujipendeka mtu humfanyia ihsani mtu ampendae mfano wema akimfanyia ihsani mama chibu waweza kusema anajipendekeza ili mama chibu amseme wema kwa chibu kuwa kuna na, wema atakufaa na sio kwa babayake mtu ambae sikuzote huonekana kama hatakiwi hivi alafu mtu akajipendekezesizani kama kutakua na mafanikio au nawe unapenda kusikia baba chibu akiteseka?
Mkuu ukibahatika kulelewa na wazazi wote wawili hii kauli ya baba ni baba unaitoa kwa moyo mmoja si kama mtu ambae amelelewa na mama. Of course unatakiwa umsaidie though ile feeling nae unakuwa huna kabisa unless awe aliingia mitini mkaja mkakutana ukubwani na Si kama kamanda huyo ambae watoto wake walikuwa wanakwenda kwake but no ushirikiano pia na mama wa huyo mdingi anawanyanyapaa, nadhani hiyo issue inakuzwa na vyombo vya habari sidhani kama dogo hapeleki chochote kwani sisi observer tunataka tumwone akiambatana na mdingi pia (kitu ambacho kigumu maana mtoto akilelewa hata kama na shangazi atamsaidia mzazi wake lakini atakuwa close sana na shangazi yake kwa kuwa amemzoea yaani atakwenda kwa wazazi alafu huyo anasepa kule alikokulia)Anazungumzia upande wake au usio wake! Hakuna haja ya mtu kuchangia 20m mahali huku Baba yake anaugua, hata Kama anafanya kosa gani, Baba Ni Baba tu na wengi.
Hapo kwenye kutamani kumnasa vibao mzee ,, umefika mbali mkuu.Uandishi wako kidogo unanipa shida..hii ishu zipo tu mbona mimi natembelea sana mahospitali Magereza na hata vituo vya wazee na watoto yatima
Fanya ziara siku moja ukajionee ya huko kama ukirudi hapa hutatamani kumnasa vibao huyo mzee
Kwel mshana mibaba mingine inajua kufyatua tu.....akishaweka anasepaaa hajui Kama mtoto kazaliwa....wanaishijeeeeeee!!Hizi ni family issues zina mizizi na mlolongo wa matukio tusishadadie tusiyoyajua tusiwe na upande bali matukio kama haya yatupe nafasi ya kujifunza na kujitafakari
Sio baba yake na wala hajawahi kuwa baba yake ila ni mzazi wake!kuna zaidi ili mtu uwe baba mama ,mume au mke!Lakini ni baba yake, hakuna kinacho badilika.
Sana tu!!!Hizi ni family issues zina mizizi na mlolongo wa matukio tusishadadie tusiyoyajua tusiwe na upande bali matukio kama haya yatupe nafasi ya kujifunza na kujitafakari
hajakuelewa huyuSoma kwa makini nilichoandika kisha tafakari kwa makini
ana maanisha tusimlaumu diamond huwezi jua siri za familia za watu kwenye familia za watu kuna mambo mengi yanayoendelea chini kwa chini!Laiti ungekuwa ww unazani kifo chako ingekuwa fundisho kwako?mbona inaonekana ww katiri.
Mkuu una macho!!!huyu mzee nae alikuwa mla maisha angalia tattoo hizo